Kwa waliowahi kukata rufaa NECTA, naomba uzoefu wenu

Tyrex

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,790
2,000
Habari zenu ndugu, let's me stick at the point me Ni mhitimu wa kidacho cha 6 mwaka huu nimepata alama za DEE sasa hapo nafikiria kukata rufaa katka somo1 ambalo nahakika nalo kabsa naombeni ushauri kwa wale waliowah kukata rufaa vp effect zake znakuaje kama Ni kufaulu Au kushushiwa zaidi marks. Ahsanteni
 

Mustaphagentleman

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
3,963
2,000
Unapoteza Hela aiseee munaweza Ku appeal watu 1,000 watakaopata ukweli ni 20 tu toka lini Baba wa Africa akakubali Kushindwa na Mtoto
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom