Wakuu ntampeleka wapi huyu mdogo wangu wa kike?

RUSTEM PASHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2016
4,333
10,540
Wakuu matokeo ndio hivo yametoka na mdogo wangu kasoma kwa shida sana.Na kapata div 3 ya point 13 ana Physics&Math E,Chemistry ana C.

Na vigezo vya kuja chuo angalau ni D mbili.Uwezo wakumpeleka diploma sina,Maana mi mwenyewe bado nasoma Chuo wakuu.Na kiukweli nimechanganyikiwa pia nae kachanganyikawa.

Sijui kiukweli nifanyeje nahitaji mawazo yenu wakuu.
 
Ndugu nmesikia tcu wamekanusha lile tangazo..kua bado hawajatoa point zinatoitajika...kuna mkuu ametuma kipande cha gazet la ukanushi..sasa cjui kama ni kweli mana hii inch sijui kunani..kila tamko huwa linakabushwa ...ss cjui hao wanaofoji huwa wakina. nan
 
Kama ikiwa kweli basi ntamshukuru Mungu,maana dogo kasoma kwa shida sana,na nategemea mkopo ndio umsomeshe kama atakuwa kapata.Ngoja tuendelee kusubili.

Asante mkuu kwa mchango wako.
 
Ur welcome kaka...ili janga kwakweli ni la wengi .mbaya zaid kwa lile tangazo naona kama tcu watakua hawajadanya maamuz sahihi mana ukiangia mtu aliesoma egm au pcb unamlinganishaje point na mtu wa hkl au hgl...
Kama hile taarifa ni ya kweli kuna waswas wa facult za science kupungua watu...
 
Kama ikiwa kweli basi ntamshukuru Mungu,maana dogo kasoma kwa shida sana,na nategemea mkopo ndio umsomeshe kama atakuwa kapata.Ngoja tuendelee kusubili.

Asante mkuu kwa mchango wako.
Hawaeleweki hawa TCU lile tangazo lilikua kwenye website yao hivyo inawezekana lina ukweli, tuliza mawazo tu mkuu kwenye maisha vikwazo vipo vingi, ningekua mimi hapo ningeshauri diploma ya ualimu maana ada zao sio kubwa sana, pia diploma ya nursing kama alifaulu vizuri biology o'level
 
Wakuu matokeo ndio hivo yametoka na mdogo wangu kasoma kwa shida sana.Na kapata div 3 ya point 13 ana Physics&Math E,Chemistry ana C.

Na vigezo vya kuja chuo angalau ni D mbili.Uwezo wakumpeleka diploma sina,Maana mi mwenyewe bado nasoma Chuo wakuu.Na kiukweli nimechanganyikiwa pia nae kachanganyikawa.

Sijui kiukweli nifanyeje nahitaji mawazo yenu wakuu.
HUYO amefauru anaweza kuchaguliwa kwani C+E = D+D, kwahiyo husiwe na wasiwasi
 
Hawaeleweki hawa TCU lile tangazo lilikua kwenye website yao hivyo inawezekana lina ukweli, tuliza mawazo tu mkuu kwenye maisha vikwazo vipo vingi, ningekua mimi hapo ningeshauri diploma ya ualimu maana ada zao sio kubwa sana, pia diploma ya nursing kama alifaulu vizuri biology o'level
Mkuu o'level alifaulu vizuri alikuwa na div 2.Nasomo alilofeli o'level lilikuwa physics alipata "D".
 
Back
Top Bottom