Mwalimu akienda masomoni hatopokea mshahara, je hii ni kweli?

mbwadinho

Senior Member
Jun 29, 2016
180
102
Habari wakuu,
Naomba kuuliza, je mwalimu akienda masomoni mshahara wake atakuwa hapokei (hauflow)?

Asanteni
 
huamini wewe nenda ukione cha moto ccm mbele kwa mbele...karibu dodoma kwenye mkutano mkuu tule maisha
 
Achukue Likizo Bila Ya Malipo Mana Akienda Masomoni atakuwa Hafanyi Kazi Sasa Mshahara wa nini?
 
Walimu wa siku hizi bwana. Inamaana toka uanze kazi hujawahi pitia standing orders hata kidogo? Mtumishi akihitaji kujiendeleza kielimu ni jukumu la mwajiri kumgharamia. Acha woga.
 
Back
Top Bottom