Kwa wale tunaojua kabisa hatuwezi kusoma shahada

Bint yangu kapata div 3 ya 14 mchepuo cbg ana d1 na e2 alipenda sana kwenda ufamasia...ni vyuo vipi vizuri kwa fani anayoitaka?
Maana hajakidhi vigezo vya TCY kwenda chuo kikuu.
 
Mdogo wangu kapata D ya kemia,F ya fizikia na S ya bios.vp anaweza kwenda diploma ya phamasia wadau.
Ajaribishe Diploma nyingine Pharmacy ipo na competition sana. Anaweza jaribu Dip Water Lab hafu akipata Dip anaenda Bachelor ya hiyo course anayoitaka.
 
Ajaribishe Diploma nyingine Pharmacy ipo na competition sana. Anaweza jaribu Dip Water Lab hafu akipata Dip anaenda Bachelor ya hiyo course anayoitaka.

Alivyomaliza kidato cha nne nilimshauri asiende kidato cha tano kwani atafuta ndoto zake za kuwa ktk sekta ya afya nikamwambia aende diploma akanigomea
 
Back
Top Bottom