Bachelor of Medicine or Nursing Makerere

optimist

JF-Expert Member
Sep 13, 2009
272
225
Jamani naulizia mwenye uelewa na cutoff za kuingia Makerere University.Nina mdogo wangu ana division III point 16 ACSEE mwaka huu , Chem =E, Bios =E na Phy=S.

Mwenye uelewa nauliza kama anaweza kupata nafasi Makerere na gharama zao zikoje?
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000
JAMANI NAULIZIA MWENYE UELEWA NA CUTOFF za KUINGIA MAKERERE UNIVERSITY
nINA MDOGO WANGU ANA DIVISION III POINT 16 ACSEE MWAKA HUU , CHEM =E, BIOS =E NA PHY=S < MWENYE UELEWA NAULIZA KAMA ANAWEZA KUPATA NAFASI MAKERERE?
Na GHARAMA ZAO ZIKOJE?
Angalia prospectus ya Makerere, hapa hutapata jibu bora. OR just call Makerere directly!
 
MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,183
2,000
JAMANI NAULIZIA MWENYE UELEWA NA CUTOFF za KUINGIA MAKERERE UNIVERSITY
nINA MDOGO WANGU ANA DIVISION III POINT 16 ACSEE MWAKA HUU , CHEM =E, BIOS =E NA PHY=S < MWENYE UELEWA NAULIZA KAMA ANAWEZA KUPATA NAFASI MAKERERE?
Na GHARAMA ZAO ZIKOJE?
Kwa bahati mbaya sana muda wa kuapply umeshspita kule na wameshatoa list ya majina subiri mwakani.
Anapata tu mkuu, nilimpeleka mdogo Wangu mwaka juzi. Ada zao ni za kawaida sana unaweza kumudu. Ila kwa criteria hizi za ndani kwetu lazima upitie TCU update ruhusa asijekupata matatizo wakati wa kufanya kazi.
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000
Anapata tu mkuu, nilimpeleka mdogo Wangu mwaka juzi. Ada zao ni za kawaida sana unaweza kumudu. Ila kwa criteria hizi za ndani kwetu lazima upitie TCU update ruhusa asijekupata matatizo wakati wa kufanya kazi.
Mahanju makerere ya wapi? Si Uganda? Naangalia prospectus 2016, hakuna MD au how do they name it!
 
Nani James

Member
May 25, 2016
90
95
maana bongo kixhanuka sasa haina haja...kwaanaye kijua chuo chenye bei nafuu kwa upande wa ada kati ya kenya na uganda cha udaktari na vigezo vyake maana kuna dogo kapata 3 ya 15 yani physics E chemistry E biology E msaada plz
 
MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,183
2,000
maana bongo kixhanuka sasa haina haja...kwaanaye kijua chuo chenye bei nafuu kwa upande wa ada kati ya kenya na uganda cha udaktari na vigezo vyake maana kuna dogo kapata 3 ya 15 yani physics E chemistry E biology E msaada plz
Mpeleke Kamapala intrnayinal university western campus ni USD 1950 per semester.Ila atafanya Bachelor of clinical medicine and community health.
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000
sasasa kwa matokeo ya E flat kwa pcb vp kiu kuna nafas au mpaka achanje mbuga kenya au uganda
Not at all, new entry scheme ni at least D mbili ie minimum of 4 points in the core subjects. E flat ni point 3 , E=1 point! Labda Ug and KE wanapokea just ask!
 
Nani James

Member
May 25, 2016
90
95
Not at all, new entry scheme ni at least D mbili ie minimum of 4 points in the core subjects. E flat ni point 3 , E=1 point! Labda Ug and KE wanapokea just ask!
asante kaka...vp rabda unawez ukawa unavijua vyuo vya uganda na kenya vya afya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom