Naombeni ushauri wenu sanaa

Naombeni ushauri wenu sanaa

tembophd

Senior Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
113
Reaction score
34
habari za majukumu wana JF
Nimesom certificate ya ualim wa shule ya msingi lakini kwenye upande wa shule za kiingereza,lakini nina wazo la kubadili kozi kati ya
-banking and finance
-accountant and sales
-Bussiness administration
kati ya hz tatu yepi ipo vizuri na pia kwenye upande wa soko...
naomba msaada wenu tafadhari sana
 
Kuhusu soko inategemea nani anakujua na yuko kwenye system
 
Mkuu bora ujiendeleze na ualimu kama unataka kazi ila kama unataka kusugua benchi kasome hizo course
 
Back
Top Bottom