Msaada wa TCU guide book 2016/17

Hivi hawaTCU kweli kesho watafungua mlango wa application??? Maana naona masaa yanakatika tu bila hata hiyo guide book kutolewa.

sasa cjui hizo applications zitafanywaje bila kuwa na mwongozo.

Mwenye majibu ya haya maswali tafadhari!!
 
Usiwe na haraka mtapewa muda kutosha kuomba yawezekana kuanzia 20/7 hadi 20/8 au 31/8,
Cha muhimu uwe na sifa za kujiunga.
 
Hilo wameshalitolea maelezo wewe ndiyo uko nyuma kwa taarifa sidhani kama linahitaji kuanzisha thread humu
 
Nawaombea wenzangu kwani mm nina GPA 2.3 ivyo nilikuwa naulizia tuu nione masharti yao kama wameachia
 
Back
Top Bottom