hapo kazi ipo!jaribu kuwapigia helpdesk watakupa maelekezo vizuri.nina rafiki yangu ye matokeo ya kidato cha sita kila akijaribu kuyaweka system ina mgomea yani atakwenda heslb kesho kujua tatizo ni nnKipi kita tumika kulipia ile 30000 ya HELSB na kuombea mkopo kwenye Olas?
Inayotumika ni ile ya P.Kipi kita tumika kulipia ile 30000 ya HELSB na kuombea mkopo kwenye Olas?
Asante mkuu, hapa nilikuwa naongelea kwenye kulipia ile 30 ya mpesa ila pia Nashukuru kwa kunifafanilia zaidi nilikuwa nisha sahau mambo ya first na second seatInayotumika ni ile ya P.
Ila si kuna mahali pa kujaza 1st n 2nd seat au?
Utaanza na cha kuomba cha kwanza ila kuna option nyingine utaulizwa Kama umeshafanya mtihani zaidi ya Mara moja kisha unakubali kwa kuandika tena namba ya kuresit bila kusahau kuambatanisha vyeti vyote viwiliKipi kita tumika kulipia ile 30000 ya HELSB na kuombea mkopo kwenye Olas?
Kwenye M-PESA wanAkuuliza i oOmba Mkopo Kama kawaida na kawaida unatumia cha kwanza kwa maana ya namba ya cheti ila kuna sehemu kuna option nyingine unaulizwa Kama umeshawahi fanya mtihani wa form 4 zaidi ya Mara moja kisha kubali na utajaza namba ila usisahau kuambatanisha vyeti vyote
Sasa Wewe Hapo Huoni Kama Umejiweka Upside-down??