JAMES LAZAROC
Member
- Apr 26, 2015
- 6
- 1
kwa anayekifahamu hiki chuo naomba ufafanuzi
kwa anayekifahamu hiki chuo naomba ufafanuzi
Hiki chuo VP usajili wakudumu au wa awalKipo mwanza, kozi za wateknologia wasaidizi maabara na maafisa tabibu!
kwa anayekifahamu hiki chuo naomba ufafanuzi
tanda bui ni ile kamba inayotolewa na buibui na kuitega sehemu. buibui ndionyule mdudu mwenyewe.Kwani Tandabui na Bui Bui wana tofauti yoyote...?
![]()
![]()
Me nkifahamu hiki chuo kipo mwanza maeneo ya buzuruga ila for more details kuhusu hiki chuo labda utembelee site yao maana me sikijui kwa undani zaidikwa anayekifahamu hiki chuo naomba ufafanuzi