Hatma ya wanafunzi waliosimamishwa masomo UDOM itajulikana lini?

Crystal field theory

JF-Expert Member
Sep 16, 2014
907
342
Habari za kazi,
Hivi ni lini serikali itatoa majibu ya moja kwa moja kwa wanafunzi wa program maalumu ya ualimu wa Sayansi na Hisabati waliondolewa katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)?

Maana mpaka sasa watoto hawaelewi wafanyaje na mliahidi baada ya wiki tatu mtatoa hatima yao ila yapata mwezi mmoja na wiki moja sasa hawaelewi hatima yao.
 
Hilo ni moja kati ya mengi yaliyoahidiwa kutekelezwa kwa wakati, lakini yaonekana muda sio rafiki kwa watawala.
 
Kwanza kabisa wanajamii forum muelewe kuwa special diploma ya pale Udom ilianzishwa na serikali awamu ya nne kwa vigezo vya kuanzia one up to three division na sifa mbadala za kujiunga hivyo ili kuvutia watu kusoma ualimu wa sayansi serikali ilitoa mikopo kwa wanafunzi wote walio be admitted pale kusoma Hiyo special diploma naomba hii ieleweke wana jf naomba kuwasilisha
 
wewe umewaona wa udom tu wakati waliokuwa mondul teacher collage wameondolewa kwa kuambiwa hawana qualification baadhi...na waliobaki mkopo hamna tena
 
Sikatai Inawezekana Kuna watu walipitishwa kinyemela kusoma bila kuwa na vigezo vilivyowekwa lakini je samaki mmoja akioza wote Ndio wameoza???
 
Habari za kazi,
Hivi ni lini serikali itatoa majibu ya moja kwa moja kwa wanafunzi wa program maalumu ya ualimu wa Sayansi na Hisabati waliondolewa katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)?

Maana mpaka sasa watoto hawaelewi wafanyaje na mliahidi baada ya wiki tatu mtatoa hatima yao ila yapata mwezi mmoja na wiki moja sasa hawaelewi hatima yao.
Watafute alternative tofauti na udom
 
Je Swali je nn hatima ya wanafunzi waliokuwa na vigezo kusoma Hiyo programme maana imepita mwezi na week mbili wakatI mh waziri aliahidI majibu lakini Mpaka sasa ni kimyaaaa wana jf naomba kuwasilisha
 
Habari za kazi,
Hivi ni lini serikali itatoa majibu ya moja kwa moja kwa wanafunzi wa program maalumu ya ualimu wa Sayansi na Hisabati waliondolewa katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)?

Maana mpaka sasa watoto hawaelewi wafanyaje na mliahidi baada ya wiki tatu mtatoa hatima yao ila yapata mwezi mmoja na wiki moja sasa hawaelewi hatima yao.
Huu mwendokasi unatuacha wengi sana njiani
 
mara ajira zimesitishwa mara uhakiki hii serikali ya ovyo ukisema wanamind wanafunzi wa udom siyo kosa lao mbali ni kosa la serikali hakuna jipya lolote ndani ya serikali hii inafanya vitu kwa zimamoto
 
Je Swali je nn hatima ya wanafunzi waliokuwa na vigezo kusoma Hiyo programme maana imepita mwezi na week mbili wakatI mh waziri aliahidI majibu lakini Mpaka sasa ni kimyaaaa wana jf naomba kuwasilisha
Jaribu kuwasiliana na uncle magu au ant ndalichako
wewe umewaona wa udom tu wakati waliokuwa mondul teacher collage wameondolewa kwa kuambiwa hawana qualification baadhi...na waliobaki mkopo hamna tena
 
Serikali imeamua kuchezea elimu ya vijana hawa ambayo wameitafuta kwa muda mrefu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne ,
Hivi ingelikuwa ni watoto wao ndo wanapotezewa dira namna hii wangejisikia amani kweli?
 
Apo mkuu umenena
 
Back
Top Bottom