tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 20,875
- 27,199
Wakuu ni binti wa kutoka familia duni kabisaa haelewi cha kufanya.Wazazi wake wamejitahidi kwenye shule za kata,binti amepata div 3-15 ya CBG,ana D moja.Haelewi afanye nini,sielewi nimsaidiaje.Msaada wa mawazo jamani.
Hivi wale wadada maarufu wanaosaidia mabinti wenzao ni nani na nani vile?Nisaidieni mawasiliano yao please.Asanteni.
Hivi wale wadada maarufu wanaosaidia mabinti wenzao ni nani na nani vile?Nisaidieni mawasiliano yao please.Asanteni.