Ushauri tafadhali,
Kwa kiasi hichi ukiwa na maeneo ya mashamba na viwanda, naomba projection forecast na mchanganuo wa haswa kwa kiasi hichi kiwanda gani kinafaa maeneo ya Moshi na mchanganuo wa...
Kumekuwa na taarifa kuwa Waziri Mkuu amepiga marufuku utumiaji, uuzaji na uzalishaji wa viroba kwa maana ya packaging.
Sasa swali la msingi ni kuwa hawa watu wenye stock kubwa ndani ya hivi vitu...
Habari wadau.
Nimeacha kutumia Akaunti yangu iliyopo Barclays Bank kiasi cha mwaka mmoja sasa. Kinachonikera, kila saa moja asubuhi natumiwa sms kwamba salio langu ni tzs 0.00. Nilienda Barclays...
Wapendwa naomba msaada wanu juuu ya Kujua jinsi ya kuanza biashara hiii ya kuuza chakula,nakupenda sana lakini sijui wapi pa kuanzia na mtaji ni nilionao ni sh.m.1 tuu.naombeni msaada wapendwa ili...
*JE UNAJUA KWA NINI HUFANIKIWI?*
Una mizigo mingi isiyo ya lazima wala faida ambayo umeibeba
1.Umejipa jukumu la kuwa "mpelelezi" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako
2.Umebeba vinyongo...
Kutokana na uzoefu wangu wa muda mrefu na uwezo/kuifahamu hii biashara natafuta mtu mwaminifu wa ku share kuingia ubia na kufanya hii biashara kwa ufanisi wa hali ya juu.kwani tatizo langu ni...
I was having a catch up with my good mate and uber cool pad holder Jarrod yesterday – we both share a fascination with human performance. We are both interested in what we can get out of the...
Habari zenu wanaJF hope niwazima,naamini umeshakutana na hii concept kwamba ili upate fedha, utajiri, mafanikio lazima ugundue tatizo katika jamii na ulipatie suluhisho. Maana yake nikuwa ukiweza...
Nakumbuka miezi kadhaa ya nyuma wakulima wa nyanya walizimwaga na kulisha ng'ombe mkoani Morogoro wakilalamikia ukosefu wa soko la badhaa hiyo. Mambo ni tofauti tena bidhaa hiyo imekuwa adimu...
US interested in Tanzanias plan to build new Mwambani port
By ORTON KIISHWEKO, 17th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 226
THE American government on Friday expressed interest in...
Habari wana Jamii Forum kuna vitu kidogo sivielewi vizur kenye uchumi nami naomba kuuliza maswali mnisadie tafadhali.(mimi sio mchumi, napenda kujifunza kuhusu uchumi).
1. kuporomoka kwa shilingi...
Wanajukwaa habari zenu!
Mimi ni mjasiriamali sasa nataka kuingia kwenye biashara ya magari (usafirishaji), nina plan ya kuanza na semi moja. Nauliza kwa mnaojua ni vyema nikaanza na gari aina...
Habari wana JF.
Nahitaji kuingia ubia/mkataba wa usambazi wa bidhaa (Logistic service) kwa mtu yeyote mwenye maduka ya jumla ambaye huwa anawasambazia wateja wake (Retailers) bidhaa zake katika...
Wakuu kwa mnaotumia equity bank hii a/c Ya elimika inaruhusu kufanya online transaction km ebay, nk
UPDATE; napaswa kuwa na a/c ya ordinary ya kawaida ya sh 10000
shukran zangu za dhati kwa Mwl.RCT
Habari, mi ni student wa chuo na nina project nafikiria kuianzisha ambayo nimeifanyia utafiti wa kina. Natarajia kuifanyia kwenye frame ambayo pesa za kulipia hiyo frame ninazo so far and process...
Wakuu heshima kwenu.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba mnisaidie kumpata huyo mwana JF aliyeandika juu ya machine za kutengenezea mabati na nimetafuta ile thread sijaiona nadhani...
Hi wadau,
Nitaratibu gani zinazohusika.
Nataka kuimport mnyama WA kawaida wa kufuga toka nje,-nimeipenda mbegu, nifuate taratibu zipi, au niongee na swissport tu au
Pls help
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.