MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa...
Khabari wana jamvi hili..
Nikiwa na tabasamu lenye tumaini la uimara wa afya zenu, naomba nikunje miguu kama nyie jamvini kisha tujumuike pamoja..
Ewaah..
Akhsanteni..
Kabla hamjanipa chakula...
Habari wakuu naipenda JF naona ni jengo la maarifa.
Kuna mtu aliniambia nisipende kuweka fedha zangu bank muda mrefu bila kuziwekeza,vinginevyo zitaathiriwa na kuporomoka kwa thamani ya pesa...
1. Rais Benjamin Mkapa hadi anaondoka madarakani ktk ile miaka yake kumi unga wa ugali ulikuwa tsh 400/= kwa kilo KWA HAPA DSM
2. Rais Jakaya Mrisho anapokea kijiti unga...
AUS200
Dominant bias: Bearish
The market was mostly bearish in January, and that was strong enough to bring about a bearish outlook on the market. Although volatile, price has not trended...
nina madini yangu ya tanzanite mawe mawili moja la zambarau na jingine la kahawia je kwa dar es salaam tanzanite inanunuliwa sehemu gan?nataka kuyauza au mpaka niende arusha?? msaada wenu wadau
jamani kuna maswali naomba kuuliza kuusu hizi share...hivi tunaponunua IPO baada ya hapo hela si zinatumika kama mtaji na ss tunapewa sehemu tuu ya umiliki inayobaki DSE tukibaki tunauziana...
Habari wadau,
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuimport samaki kutoka Mwanza, sasa natafuta eneo ambalo nitakodisha fremu. Naomba kufahamishwa eneo ambalo limekaa kibiashara na ni rahisi...
Habari zenu wakuu,
Nimekua nikiwaza uwezekano kufanya biashara ya kusafirisha kokoto (gravel) na building materials in large amounts katika visiwa vidogo (nchi) za jirani na Tanzania i.e...
Habari zenu waungwana,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta mtu yeyote aliye siriaz ambaye tunaweza tukafanya nae biashara. Namaanisha mtu ambaye ana mradi au biashara yeyote halali...
Wadau kama kichwa cha habari juu,
Kwa mtu mwenye kujua biashara hii na aliye tayari na awe na cash kiasi kisichopungua 7m nakualika kushirikiana nae katika biashara ya kusaga na kupack Unga wa...
Wakuu,
Hiki kitu huwa najiuliza sana, kwanini Tanzania hatuwezi kufanya kazi kwa vikundi na vikafanikiwa sana, ninachozungumzia hapa ni ndugu au watu mmekutana mkaanzisha kundi na mkatafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.