Habari, mi ni student wa chuo na nina project nafikiria kuianzisha ambayo nimeifanyia utafiti wa kina. Natarajia kuifanyia kwenye frame ambayo pesa za kulipia hiyo frame ninazo so far and process za TIN number nimeona hazinipi shida. Challenge inakuja pale ambapo i need to fund the project itself ambapo kwa mahesabu niliyoyafanya, ni round off ya 2.5 to 3 M. I was thinking of mikopo from bank ila nimekuwa discouraged kwa kuwa what i need is the "starter" so bank itashindwa kuassess the business. I am sorry for i might sound a bit naíve lakini ndo kujifunza kwenye au sio? If there is any finacial institution or anything to offer me the starting point, please nielimisheni. Asante na asubuhi njema.