Msaada kwa hii A/C ya elimika ya Equity bank online transaction inaruhusu?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,785
20,158
Wakuu kwa mnaotumia equity bank hii a/c Ya elimika inaruhusu kufanya online transaction km ebay, nk
UPDATE; napaswa kuwa na a/c ya ordinary ya kawaida ya sh 10000
shukran zangu za dhati kwa Mwl.RCT
 
Waambie wakupe card ambayo utakuwa unaweka kiasi kile tuuu unachohitaji kwa ajili ya online transactions....nafikiri equity wanayo hiyo card kawaone.
 
Back
Top Bottom