MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
Habari wana Jamii Forum kuna vitu kidogo sivielewi vizur kenye uchumi nami naomba kuuliza maswali mnisadie tafadhali.(mimi sio mchumi, napenda kujifunza kuhusu uchumi).
1. kuporomoka kwa shilingi ya Tanzania tukilinganisha na USD au Ksh sababu huwa ni kitu gani?
2. Ili kuipandisha thamani pesa yetu nini kifanyike?
3. Kubana huku kwa mhesimiwa kutoachia pesa nyingi kwenye mzunguko linaashiria nini juu ya thamani ya pesa yetu? linatoa ishara gani maana mpaka sasa ukilinganisha USD na Tsh mambo yako vilevile.
4. vyanzo vya mapato vya benki ni vipi ukitoa interest wanayokata kwenye mikopo?
Ahsnateni sana nasubiri msaada wenu.