Zuio la uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa viroba; Serikali itawasaidia vipi wafanyabiashara?

lemutunguz

Member
Nov 15, 2016
51
51
Kumekuwa na taarifa kuwa Waziri Mkuu amepiga marufuku utumiaji, uuzaji na uzalishaji wa viroba kwa maana ya packaging.

Sasa swali la msingi ni kuwa hawa watu wenye stock kubwa ndani ya hivi vitu wanatakiwa kuirudishia serikali wafidiwe au wanatakiwa kuteketeza? Manake viroba hvyo vimetozwa kodi ya serikali na vina uhalali wa TBS, isingekua sawa vikasitishwa kuzalishwa peke yake na in short run vingeisha kwenye mzunguko?
 
Back
Top Bottom