Msaada kuhusu DSE, nahitaji kununua HISA

Facha Don

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
345
316
Jamani wana JF,

Msaada, kwa yoyote anaejua kuhusu DSE (Dar es Salaam Stock Exchange) maana nahitaji kununua HISA.

Msaada wa mawazo
 
Jaman wana JF msaada kwa yoyote anajua kuhusu DSE (Dar es Salaam Stock Exchange ) msaada wa mawazo
Vyema kufunguka hasa msaada gani unahitaji. Kama unataka ushauri wa jinsi ya kununua hisa bora uwasiliane na brokers wa DSE.
 
Vyema kufunguka hasa msaada gani unahitaji. Kama unataka ushauri wa jinsi ya kununua hisa bora uwasiliane na brokers wa DSE.
Yaaan hapo ndyo penyew nataka kununua Hisa na hao Brokers ntawapataje
 
Back
Top Bottom