Msaada: Jinsi ya kufunga akaunti yangu ya Barclays

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
1,350
2,054
Habari wadau.
Nimeacha kutumia Akaunti yangu iliyopo Barclays Bank kiasi cha mwaka mmoja sasa. Kinachonikera, kila saa moja asubuhi natumiwa sms kwamba salio langu ni tzs 0.00. Nilienda Barclays na kuwaulizia taratibu za kufunga akaunti, wakasema nilipie tzs 25,000/-( Ishirini na tano elfu).
Msaada wadau sielewi nifanyeje kuzikomesha hizi sms bila kulipa hiyo hela.
 
Back
Top Bottom