Kwa yeyote mwenye kutaka kufungua kituo cha radio kwa masafa ya FM .Transmitter na STL yake zinapatikana kwa 30 Million CIF Dar es salaam
Just PM Me for more info
Kijiweni sometimes kuna mambo mazuri ya kujifunza ila usikae sana, kaa kama sababu zipo.
Kuna jambo lilikuwa linanitatiza sana hapo awali, kwa nini wengine wana hela na wengine hawana, je...
HABARINI ZA LEO WADAU WANGU.
Labda nirejeshe salam za upendo kwa mlioniombea wakati sina kazi na hatimaye nimefanikiwa kupata kazi kwenye taasisi kubwa sana katika Taifa hii.Hakika ni taasisi...
Wakuu naomba kupata hali ilivyo katika biashara ya kuuza unga wa mahindi.
1. Hasara na faida zake.
2. Changamoto zake
3. Soko
4. Aina ya mahindi mazuri kununua.
5. Upatikanaji wa mashine za...
Naomba msaada kwa mwenye draft ya katiba ya kikundi cha kijasiriamali, tutajihusisha na kilimo cha mbogamboga na matunda. Tunatakiwa kusajiliwa na kufungua akaunti.
Naomba msaada tafadhali
Vijana wengi hasa graduates huwaza kuwa wakipata kazi na kulipwa mshahara watakuwa matajiri. Ndugu kama una mawazo hayo yafute.Huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kulipwa shilingi laki sita...
Moja ya siri zinazoweza kukusaidia kufanikiwa katika biashara ni kuweza kujifunza kutoka kwa wafanyabiashara Waliofanikiwa. Ni busara na vyema sana kuangalia waliofanikiwa katika biashara...
#TUNAANGAZA_FURSA
AJIRA YANGU BUSINESS PLAN COMPETITION.
Kuhusu Ajira yangu Business Plan Competition:
“Ajira Yangu Business Plan Competition” ni mpango mkakati wa kutatua changamoto za ajira...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Neutral
EURUSD went upwards on Monday and Tuesday, topping at 1.1615. Since then, price has come down by over 200 pips, closing at...
Wanjamii, salaam.
Nashuhudia minenguo ya matangazo mengi ya biashara hasa kwenye haya magari matangazo hapa mkabala na barabara ya Moro hapa magomeni.
Kinachoniacha sinto ni minenguo kutohusika...
A Crucial Question from All Traders
A positive expectancy method makes you risk less than you plan to win; reverse the logic for a negative expectancy method. Therefore, a negative expectancy...
Kuna siku nilikuwa naongea na mtu akaniambia uchumi wa tanzania umeshikiliwa na watu kutoka nje ya tanzania yaani 70% ya uchumi wa tanzania ndo umebebwa na ambao sio ws tz sasa mm sijaelewa...
Mimi ni kijana, naishi Dar,nina digrii nataka kuanzisha biashara ya vitafunwa vya asili yaan mihogo, magimbi, viazi, ndizi n.k vya kuchemsha tu.
Tatizo ni mtaji wa kuanzisha biashara.
Natafuta...
Starting Friday, 15 April, 2016, all Emirates customers travelling in any of the airline’s three cabin classes on outbound African flights will benefit from the increase in free baggage allowance...
Wakuu nina maswali kadhaa kuhusu hii biashara.
Je, ninahitaji vibali gani? Na vinapatikana katika ofisi zipi na pia itakuwa msaada sana kama itawezekana kuweka gharama zinazolipwa kwa kila...
Wakuu naomba kupata hali ilivyo katika biashara ya kuuza unga wa mahindi.
1.Hasara na faida zake.
2.Changamoto zake
3.soko
4.Aina ya mahindi mazuri kununua.
5.Upatikanaji wa mashine za kukoboa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.