Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya stationery | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya stationery

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by SUYA, Feb 24, 2012.

 1. S

  SUYA Senior Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kutokana na uzoefu wangu wa muda mrefu na uwezo/kuifahamu hii biashara natafuta mtu mwaminifu wa ku share kuingia ubia na kufanya hii biashara kwa ufanisi wa hali ya juu.kwani tatizo langu ni mtaji mdogo.
   
 2. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  biashara gani mbona hauko wazi ???
   
 3. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Heading inajieleza Mkuu
   
 4. u

  ureni JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,273
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Toa maelezo ya kutosha weka details,hiyo stationary unafungua wapi,capital kiasi gani toa maelezo mengi ya kutosha kuweza kumconvice mtu.
   
 5. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Nakushauri uanze taaratibu na mtaji wako mdogo. Baadaye unaweza kukopa bank na kuukuza mtaji wako.

  Kama partnership, nahofia kuwa baada ya tangazo lako unaweza kupata matapeli.
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mkuu bongo hapaaminiki komaa mwenyewe
   
 7. Y

  Yamwana Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  naomba uni-pm contact zako tafadahari. Ahsante
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  Mkuu kumpata business partners si kazi ndogo na hatafutwi kama tunavyo tafuta wachumba mkuu, inahitajika umakini wa hali ya juu na kuna hints nisha wahi kuziweka humu jinsi ya kumpata patiners mzuri so zitafute
   
 9. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,112
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  tuwasiliane naweza kukusaidia kimawazo na hata vifaa nipe contact zako
   
 10. M

  Mugga New Member

  #10
  Feb 17, 2017
  Joined: Feb 13, 2017
  Messages: 4
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Weka contact zako hapa mkuu ili tutafutane
   
 11. pmuta

  pmuta JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2017
  Joined: May 9, 2016
  Messages: 621
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 80
  Ukomkoa gani na unaplan biashara ifanyikie wap?Mimi pia nina uzoefu tunaweza kusaidiana.
   
Loading...