wakuu haber zenu.
apa nilipo nina sh. 50,000 sasa nataka kuzalisha nipate pesa ya kuishi ...naombeni wazo la biashara..nifanye biashara gani ili niwezi kufanikiwa? kwa sasa nina ishi mbeya...
Nina eneo la ekari moja na kisima kirefu mita 180 chenye maji mengi na safi. pia nyumba 2 kwa uzalishaji. Natafuta partner tuzalishe maji ya kunywa. mwenye interest na ujuzi karibu. nipo Mbezi...
Please in case there is any TRA expert, can let me know what are goods/luggage stuffs that a returning resident is obliged to pay while coming back from abroad.
TRA website has tiny information...
Nini ukwamisha hatua za kimaendeleo katika biashara yako.
Na Frank kadidi/MtotoWaMzeeWaSiku
Wakati fulani nilizungumza juu ya namna ambavyo waweza kuchukua hatua za kimakusudi ili kufikia...
Jameni wakuu,
Ningependa tujadili swala hili kwa umakinifu bila kupendelea upande wowote, hivi kati ya Africa ya mashariki na ya magharibi ni ipi iko katika nafasi nzuri kujiendeleza kimaendeleo...
Habari zenu wanajamvi,
Mwenzenu nimeamua niache kazi niliyoajiriwa nikajiajiri mwenyewe kutokana na sababu kubwa moja ya kutopenda kutumwa yani nikitumwa nachukia pia wafanyakazi wenzangu...
Habari wana JamiiForums,
Nimepata wazo baada ya kufanya utafiti kidogo na kugundua kwamba katika kipindi hichi soko limekuwa tatizo sana kwa kila biashara, kampuni au watu hapa nazungumzia bidhaa...
Naomba msaada kwa anaejua malighafi zinazotengeneza kiberiti cha njiti na gharama za mashine zake na mahitaji yote yanayotakiwa mpaka kiberiti kukamilika. Pamoja na jinsi ya kutengeneza toothpick...
Mkufunzi wa Maswala ya Biashara Ndugu Felix Maganjila Akitoa Mada kwenye Mradi wa kuwejengea Uwezo wanawake Kwenye Ujasiriamali kupitia Taasisi ya Manjano Foundation. Mafunzo hayo yalianza wiki...
Tafadhali wakuu wenye uzoefu wa biashara ya kupika na kuuza ubuyu naomba mchanganuo hapa kwa niaba ya wanajf wote.
Mchanganuo uwe kuanzia upatikanaji, mahitaji, viungo, soko, upakiaji nk...
Karibu kwa jumla na reja reja. Tumeshusha mzigo toka Shamba. Tupo tandare sokoni. Ewe mkazi wa jiji la dar popote ulipo . tupigie 0682665574 au 0765054826... Huna aja ya kwenda temeka mzigo uko...
Wadau habari za mihangahiko.
Nimebahatika kusoma kitabu ambacho kinaelezea financial discipline and opportunities nikaona kitu kinaitwa Roth IRA je wewe wakijua??
Baada ya kusoma zaidi nikagundua...
Kwa wanaofahamu na waliowahi kusafiri kwenda china je kuna biashara ya simu used na kama ziko bei za simu kama
IPHONE 6
IPHONE 6S
IPHONE 6S PLUS
na nyingine za juu yake mwenye uelewa naomba...
Wakuu,
Kutokana na kufurika kwa soko la ndani la kitunguu kwa msimu huu,nimegundua hakuna namna zaidi ya kupeleka nje ya nchi.
Kampala inasemekana wana bei nzuri ila tatizo sijui lolote hapo...
Hapa pananichanganya sana, bado sijaweza kujua kutambua dollar moja ni sawa na shilingi ngapi ya Tz mana huwa naona watu huandika viwango mbalimbali,
kifupi nahitaji kujua jinsi ya kutambua...
Habarini za sahizi wana JF,
Kuna Tangazo hapa nimelisikia Kuhusu HISA,
Na wanasema kwamba HISA moja unapata kwa 400/=Tsh.
Naombeni ufafanuzi wana JF Kuhusu HISA,
Ipoje??
Nini faida...
Wapendwa natarajia kuanza biashara ya kuuza nguo za kike na ningependa kuagiza nguo online kwa Kutumia mtandao wa Ebay.Nimependelea Ebay kwa vile iko na vitu vizuri sana vya wanawake nivipendavyo...
Makamu wa Rais wa TCCIA Viwanda Octavian Mshiu akibadilishana nyaraka na Rais wa Chamber ya Biashara ya Uturuki
Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo (TCCIA) inatajia kufanya ziara ya Kibiashara...
Nilianzisha thread kuzungumzia hizi online media zilizochipukia siku za karibuni naona ilifutwa bila sababu yoyote ile.
Anyway nilichokuwa nauliza je kuna nafasi au fursa kwa zingine kuja kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.