Kama kichwa cha habari kinavojieleza naomba mnisaidie kumpata huyo mwana JF aliyeandika juu ya machine za kutengenezea mabati na nimetafuta ile thread sijaiona nadhani alisema yupo Mwanza ninahitaji nijifunze kitu kwake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.