Naomba mchanganuo wa mashamba/viwanda kwa kiasi cha milioni 150

elimuplatform

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,054
462
Ushauri tafadhali,

Kwa kiasi hichi ukiwa na maeneo ya mashamba na viwanda, naomba projection forecast na mchanganuo wa haswa kwa kiasi hichi kiwanda gani kinafaa maeneo ya Moshi na mchanganuo wa gharama.
 
Sasa ndg si vema ukatuona wachanganuaji wa miradi? Mbona mnatulaza njaa kwa kutaka ushauri wa bure tu, Wakati nasisi ni ujuzi wetu,??!!!
 
Nikipata hii pesa ntatumia less than 10 millions na kuwa Tajiri kabisa. Fuga ng'ombe wa maziwa wenye kukupa zaidi ya Lita 500 kwa siku. Add value ya hayo maziwa utachagua either flesh au mgando, tengeneza lebo na good packaging, fanyia marketing biashara yako. Nakupa miezi tisa leta mrejesho. Ukianza kuzivuna nipe mkopo wa 5M niwe millionaire na mimi. All the best
 
Mkuu kinachokufelisha sio kukosa mtaji bali uthubutu.usisubiri mpaka upate 5m cash.anza na ulichonacho
 
Unachoongea ni kweli kabisa lakini inabidi nifanye change of plans ili nije fanya nnachotaka. Changamoto iliyopo ni kwamba nnachotaka kufanya ni lazima niwe na kiasi flan cha pesa ambacho sina kwa sasa.
 
Hapo sasa inabidi ujue kuwa kuna biashara na biashara ya kutafuta mtaji.
Mfano mimi nahitaji 2m ili nifanye kitu flani lakini sina hyo pesa na uwezo wa kuipata kwa kukopeshwa hauko.lakini let say nina laki kamili mfukoni.basi unaangalia ni jinsi gani unaweza kutengeneza hyo 2m kwa kutumia 100k uliyonayo na kwa mazingira uliyonayo.wamarekani weusi wanaita "get it how u live".yaani katika mazingira uliyopo na resources zilizopo nini unaweza fanya kwa pesa ndogo na kikuletee faida.hapo inahitajika utafiti.
 
Nimekuelewa sana kiongozi.
 
Nimekuelewa sana kiongozi.
Haya fanyia kazi sasa uje ulete mrejesho.kwa mfano wakati nataka kusepa bongo enzi hizo bajeti yangu ilitakiwa 3m kwa nauli na viza pekee na mie mfukoni nlikuwa na laki tano tu,guess what I did.
Nlienda chuga nkanunua gunia mbili za kwa laki mbili each then kila gunia ikatoa pelets 5000 fine quality,nkapata wateja wa whole sale 500/= per pelet,within a month nkapata 5m.it was risky but I am a risk taker.
 
Aisee umemwaga petroleum kwenye moto. Let me go and get it.
 
Back
Top Bottom