Nahitaji mbia wa biashara

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
2,020
1,261
Habari wana JF.

Nahitaji kuingia ubia/mkataba wa usambazi wa bidhaa (Logistic service) kwa mtu yeyote mwenye maduka ya jumla ambaye huwa anawasambazia wateja wake (Retailers) bidhaa zake katika mkoa wa Dar Es Salaam na Pwani. Mimi nina suzuki carry kadhaa ambazo nitakuwa nazifanyia hiyo kazi tajwa hapo juu.

Note:
1. Nitashukuru pia kupata mawazo tofauti toka kwa wale walio na uzoefu katika hii nyanja tajwa
hapo juu

2. Kwa walio na biashara za kusambaza bidhaa naomba wani pm ili tuongee


Ahsanteni
 
Back
Top Bottom