Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nilianzisha thread kuzungumzia hizi online media zilizochipukia siku za karibuni naona ilifutwa bila sababu yoyote ile. Anyway nilichokuwa nauliza je kuna nafasi au fursa kwa zingine kuja kwenye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu ya Hitler yauzwa $243,000 katika mnada Marekani
1 Reactions
1 Replies
897 Views
Wakuu, Nataka nunua vitungu swaumu kwa bei ya shambani vinapatikana mkoa gani? Bei zake zikoje. Naomba mnijuze
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hapa kitaa kwetu Nyamalango vyakula baadhi ya maduka na magenge bei ni juu Nyanya Moja ndogo 200-300 Unga Dona 1300 Sembe 1500-1600 Mchele 1900-2200 Sugar 2400 Mafuta Lita Moja (Korie) 3500...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mishahara ya watumishi imeshuka ghafla baada ya bei ya unga kufikia sh 2000, ile ya maharagwe kufikia sh 3200 kwa kilo na kodi ya mapato kubakia palepale. Kwa vyovyote vile mishahara...
0 Reactions
2 Replies
776 Views
Kma ilivyo ktk kicha habari. nina hitaj home music system. budget yangu Tsh. 350,000 nipo mwanza. Je! nitapata?
1 Reactions
0 Replies
672 Views
Umeenda shule ya msingi, umejifunza kusoma, kuandika na hesabu, ukaenda sekondari ukapewa maarifa mengine yawe ya sayansi, sanaa, biashara n.k Umeingia mtaani unafanya mambo yako mengi tu lakini...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa wataalamu kwa kuangalia kwa macho tu haya yaweza kuwa madini gani? Kama ni madini ya aina yoyote yale ukigundua nicheki DM au whatsapp +255785956171 ni muhimu sana , najua huku nitapata msaada.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi kwa yeyote anayejua kilipo chuo cha Sound Engneer kwa dar au mtu anaefundisha awasiliane na mimi 0622977872. Asant
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Mfumuko wa bei za bidhaa unazidi kuongezeka nchini Kigoma unga kilo 25 unauzwa 40000, mchele kilo 1800, maharage 2000 huku debe la mahindi linauzwa 20000 mpaka 21000.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba kujuzwa tofauti kati ya shirika na kampuni. Ahsante
0 Reactions
49 Replies
18K Views
Nataka niazishe biashara ya kuuza nguo mtumba na vitu vingine mtandaoni, naomben ushauri wenu wadau
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF, Kupitia jukwaa hili miaka miwili iliyopita nilipata mwongozo wa jinsi ya kuanzisha ujasiriamali kwa kupitia magari ya Suzuki Carry .Huu ndio ulikuwa mwongozo niliowaomba Naomba...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Shirika la viwango Tanzania ,kazi zao hazionekan na hii inanifanya nsione umuhim na ufanisi wa utendaj kazi wao ,Leo asubuh naenda dukan kununu sukarr nakutana na sukar fake ,sukar inapackage na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa anayefahamu baada ya kufanya claim ya VAT South Africa(SARS) malipo yanakuwa katika cheque au vipi? Na ni benki zipi za TZ zinazo process malipo baada ya kupokea cheque au any payment...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish From Monday to Wednesday, this pair went downwards, moving below briefly below the support line at 1.0550. Price then...
0 Reactions
0 Replies
399 Views
Naomba ushauri wanaJF, Natarajia kununua miti mia mbili yenye umri wa miaka minne kwa bei ya sh 760,000/=. Biashara itafanyika kwa kutuma pesa kwa M-pesa mimi ntaenda kuiona Mwezi wa sita. Kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Quality Group facing eviction from building it once owned THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE Public Service Pension Fund (PSPF) has moved to evict Quality Group Limited from its Quality...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wandugu Heri ya mwaka mpya, naamini Mungu ametuvusha salama. Somo liko juu hapo Mwaka huu natamani kuanzisha biashara ya Nguo, Simple shoes na Mikoba ya akina dada. Nataka kupeleka kwenye hiyo...
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Baada ya Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa kutangaza kuanza Ujenzi wa bandari kavu ktk eneo la Ruvu, Mlandizi, hakika jambo hilo ni hatua kubwa sio tu kupunguza msongamano lakini pia utachochea...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom