Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari ndugu zangu, Nimedhamiria kuanza biashara ya kuuza kisamvu kilichotwangwa naomba mwenye kujua jinsi ya kukitunza kisiharibike mapema anieleweshe. Asante
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba kufahamu kuhusu huu uwekezaji...tafadhali,hivi 1 square metre ya ardhi ukiambia inauzwa shillingi 5000,inakuwa ina ukubwa gani? na katika kupimwa au kuongezewa inaongezeka vp? mfano mimi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF wenzangu, Mimi ni mjasiriamali takribani miaka kadhaa sasa, nafanya biashara ya stationaries na biashara zingine zinazolingana na hiyo hapo juu. Lengo la kuandika Uzi huu ni...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifatilia kwa miezi kadhaa dhamani ya shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani, nikagundua kuwa benk zina rate ambazo ni tofauti sana na rate za Bureau de change.. kwa mfano...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
AUS200 Dominant bias: Bullish This market is bullish as well as volatile. Price swung wildly upwards and downward in April, and it has started pulling back again this week (all in the context of...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Kuna watu wamenishangaza sana, wanakimbilia kuchukua mikopo benki ili wakanunue hisa. Najiuliza haya mawazo watu huwa wanayatoa wapi? Wanayo tabia ya kujielimisha binafsi kabla ya kuchukua...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalaaaaaaam Wanajamvi Leo nimeona nifunguke kwa upande huu, kama “heading” yangu inavyosema ili kusaidia wanajamvi wenzangu kuondokana na hali hii ngumu ya kimaisha ambayo kwayo sisi watanzania...
19 Reactions
68 Replies
54K Views
Mambo ya kuangalia ni kama ifuatavyo; i). Performance ya kampuni. kampuni inafanya kazi vizuri kwa weledi na inamategemeo ya ukuaji wa kampuni kama kutanua miundombinu yake na uboreshaji wa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
GOLD (XAUUSD) Dominant Bias: Bullish Gold is bullish in the long-term and bearish in the short-term. Price went upwards from April 3 to 17, and then began to be corrected lower. The lower...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Habarini wadau, Pia poleni wale ambao mmepoteza ajira zenu kwa sababu ya vyeti huku wenzenu "wanaojua kusoma na kuandika" wakiendelea kula mshahara mnono kwa kutumia vyeti vya wengine. Back to...
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Habari zenu wana JF, Moja kwa moja kwenye mada hivi biashara ya daladala imekuwa kero huku Wilaya yetu tu ya Temeke au hata huko katika Wilaya zenu? Maana sio kwa mavyeti haya na rushwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Naomba kujua faida gani unapata ukisajiLi mradi/miradi(project/projects) kwenye kituo cha uwekezaji Tanzania(TIC). Na kusajiLi mradi ni kuna gharama yoyote mwenye mradi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair trended downwards last week, going below the resistance line at 1.0650. The movement so far this month is...
0 Reactions
2 Replies
708 Views
Sasa hivi kuna watu kama elfu 20 hivi wanaingia mitaani na watataka pesa zao ili warudi shule ama wapambane na maisha sasa sijui kama hii mifuko ya hifadhi ya jamii imejiandaa kuwalipa mafao yao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Super Trading Strategies - Tapping the Hidden Treasure in the Markets “So much to know, so much to earn So much wisdom to seek and learn If we raise our hands, we’ll touch the sky Our beds...
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Tunataka kujenga viwanda nchini, sawa ni sera nzuri. Vipi serikali imeunda sera ya kulinda bidhaa zetu za ndani na viwanda vya ndani? tunaweza tukawa tunazalisha bidhaa nyingi na kuna bidhaa kama...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Habari za mchana wanabodi, natumai muwazima, Ufuatao ni ushauri kidogo wa kifedha ambao kwa kiasi kikubwa ukifuatwa unaweza kutoa tija ya kila anayeufuta. 1.Usitumie fedha kwenye vitu...
7 Reactions
9 Replies
3K Views
Napenda kukukaribisha kwenye biashara endelevu na kampuni ya Oriflame kutoka Sweden. Kampuni inatengeneza na kuuza bidhaa zake zilizotengenezwa kwa malighafi asilia. Nahitaji watu watano (5)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Please assist on best name for drinking water that am planning to start producing on july
2 Reactions
80 Replies
13K Views
Yaani nashindwa kuelewa wakuu wetu wanawabembelezea nn hao wakenya wakati Ges yetu hata bado hatujaifaidi vizuri gesi saizi zimepanda bei mtungi Mdogo 17000-23000 eti ushauri wangu gesi isiuzwe...
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Back
Top Bottom