Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 405
Habari za sasa wakuu?
Mimi ni gradute, nahitaji sana na nazidi kutafuta mtu mwenye experience ya biashara ya madini nifanye kujitolea kwake kwa muda hata miezi sita hivi niweze pata ujuzi na mimi ili nianze biashara hiyo.
Wakuu, nimekuwa na spirit kubwa sana na hii biashara, naombeni sana mnishike mkono, nipo tayari kuhama hapa nilipo nije kwako utakae kuwa tayari kunipa mafunzo.
Kiufupi mimi ni kijana wa miaka 25, naishi Dar na sina familia.
Niko flexible.
Natumai nitapatiwa msaada hapa.