Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nakumbika sana wakati nasoma kidato cha tano na sita nikiwa naishi kwa mara ya kwanza bwenini. Tulikuwa tunakula ugalo na maharage Jumatatu, jumanne, Alhamis, Ijumaa na Jumapili. Siku ya Jumatano...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello wana jamii, Natarajia mnasheherekea salama sikukuu ya wafanya kazi duniani. Nianze kwa kusema kua sera ya awamu hii ya 5 ni ya viwanda na biashara, nia ya kuanzisha uzi huu ni kwamba...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
kwa anayejua soko la Rupia 1, 1910 J, ya Kijermani ya Afrika Mashariki [DEUTSCH OSTAFRIKA, 1 RUPIE 1910 J.....GUILELMUS II IMPERATOR] tuwasiliane pm
0 Reactions
30 Replies
9K Views
*TEN BASIC STATEMENTS ABOUT MINISTRY* 1. The foundation of ministry is *Character.* 2. The nature of ministry is *Service.* 3. The motive for ministry is *Love.* 4. The measure of ministry is...
0 Reactions
2 Replies
572 Views
Habari zenu wapendwa, Mimi ni kijana mwenzenu nina ndoto za kuthubutu kuanzisha kampuni yangu ya masuala ya research and consultancy. Hivyo anaejua utaratibu anisaidie ikiwezekana na gharama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina uhakika kuwa wengi wa wafanyakazi ambao wataachishwa kazi baada ya uhakiki wa vyeti, walikuwa na mikopo katika taasisi mbalimbali za kifedha akiwemo mkopeshaji mkuu wa watumishi wa umma...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish Last week, this pair opened with a massive gap-up, which also happened on other EUR pairs. Price managed to reach the...
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Ndugu zangu, Mimi ni mfanyakazi katika moja ya Manispaa ya jiji la Dar-es-salaam, nilikopa katika benki ya Backleys mwaka 2009. Kwa makubaliano ya marejesho yatakuwa yakikatwa kutoka kwenye...
0 Reactions
3 Replies
881 Views
poleni na kazi za mchana kutwa, Mimi kama mfanya biashara/mjasiriamali mdogo nahitaji mkopo kwa ajili ya kukuzia biashara yangu kiasi cha kuanzia milioni 2 kuna mtu alinishauri niende NMB kisha...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa uzoefu wangu mdogo ni kwamba, (a) hakuna hela za rahisi (b) hakuna mafanikio wala utajiri wa chapchap. Ninachokijua ni kwamba ili upate hela, ili ufanikiwe ni lazima (1) ujifunze kwa bidii (2)...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO TAARIFA KWA UMMA WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA UNUNUZI HISA ZA AWALI ZA VODACOM. Serikali imewataka watanzania kuchangamkia fursa ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu!!!? Naomba aliye na uzoefu anisaidie makadirio ya gharama inayoweza hitajika kujenga hiyo nyumba(Pichani) nchini hapa hasa Mkoani Mwanza
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Siku zote tumefundishwa kuambatana na upande utendao haki , ukipuuza umekwisha ! Taarifa nilizozipata ni kwamba Kitendo cha Jokate kujiingiza kwenye siasa za ccm , chama ambacho kinachukiwa na...
12 Reactions
80 Replies
7K Views
Jamani nasikia nnsf wanakutana tarehe kumi na moja ili kujadili kuzuia mafao ya mwanachama hili limekaaje wakuu
0 Reactions
21 Replies
3K Views
It may seem a contradiction to say that you don’t want to pay attention to the profit of a trade. In fact, many of you might be saying that this guy must be smoking rope to say that profit is...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Mambo vipi wadau,mwaka jana niliwahi kusikia mihogo ni dili mara mchina kaja kununua sijui iliishia wapi.Coz kuna mahali nina mashamba yangu nataka nijue kama inalipa nianze kuwa bize na kilimo...
0 Reactions
2 Replies
929 Views
*MAWAZO YANGU LEO* *VODACOM mnashawishi sana watu kununua hisa pasipo kuwapa elimu ya kutosha juu ya Faida na hasara ya kujiunga na biashara hii, ikumbukwe kuwa hii biashara ni mpya kwa watu...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Pause: Entrepreneurship should be taught as a subject in all schools across Africa. By far the biggest employer of people in Africa is what is generally called the "informal sector." I personally...
3 Reactions
2 Replies
788 Views
Nimeikuta hii picha ya ndege mpya Ingawa mimi sio mpandaji wa ndege, ila hakika mhe Magufuli tutamkumbuka. Picha inajieleza.
7 Reactions
60 Replies
6K Views
KWA MHESHIMIWA RAISI Mheshimiwa Rais pole kwa kazi, lakini naomba nichukue wakati wangu kuandika au kukueleza hiki ambacho sina uhakika kama kitakufikia au hakitakufikia. Lakini kwa imani na...
3 Reactions
1 Replies
863 Views
Back
Top Bottom