Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,285
Wakuu habari za saivi,
Rejea mada tajwa hapo juu,
Nimekuwa nikifatilia mkopo wa bank kama mil.30 lakini nashangaa process ni nyingi sana kiasi ambacho imechukua karibia nusu mwezi (wiki mbili hivi) lakini bado mpaka saivi japo nimebakiza vitu kazaa kufanikisha issue nzima.
Niende moja moja kwa moja pointi yangu wakuu wazi kwamba bank walitaka kujua kama account yangu inamzunguko au laa, sasa nachojiuliza ni hiki mkopo wa mil.30 marejesho ya mwaka mzima na wanataka account yangu ndo iwalipe iyo mil.30 kutokana na huo mzunguko wa hiyo account (account transactions) itawalipaje na mimi nitapataje riba katika account yangu.
Pia nilitaka mnishauri wakuu nisijeingizwa mjini nibaki nawafanyia bank kazi wakuu!
Nawasilisha.
Karibuni.