FikraNdefu
Member
- Dec 22, 2014
- 17
- 6
Habari ya Asubuhi wana jamvi,
kilimo ndo ajira nilijichagulia sasa nikiwa shambani nalima nimeokota iyo pesa hapo juu wadau nikiwauliza wanasema umasikini ndo nshauaga sasa sielewi naipeleka wapi maana nimekuja mjini na matapeli ni wengi.
Naomba nijulishwe thamani ya iyo pesa ya mkoloni Kwa miaka hii , na je Kama kuna mtu kashawai kuiuza au anajua sehemu wanayonunua anieleze,
Nawasilisha.