Kwanza TV
Member
- May 2, 2017
- 33
- 69
Lawrence Mafuru ambaye ni Msimamizi wa Masuala ya Kisheria (Statutory Manager) wa FBME akiongea katika mahojiano maalum na Kwanza TV ameeleza kuwa kumekuwa na mabadiliko ya msingi katika mfumo wa kiuchumi ndani ya miaka miwili.
Mabadiliko haya ni pamoja na serikali kupunguza matumizi ikiwemo posho kwa wafanyakazi wake na matumizi ya kumbi za mikutano.
Mabadiliko haya ya kiuendeshaji yamepelekea mabadiliko katika mapato na matumizi ya wananchi na hivyo kuathiri utoaji na ukusanyaji wa mikopo.
Mahojiano haya yanatoa mwanga kuhusu sekta ya benki kwa ujumla.