Je, ni njia gani sahihi ya kutangaza biashara kati Radio na Tv hapa Tanzania?

johnmlay

Senior Member
Mar 27, 2012
150
56
Habari wanajamvi,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Nahitaji kufahamishwa ni njia gani ni sahihi zaidi kutangaza Brand yangu kati ya Radio Au Tv ili Brand yangu ili iweze kufahamika na watu wengi hapa Tanzania. Pia naomba nifahamishwe ni kituo gani kinafaa zaidi kupeleka tangazo langu.

Natanguliza shukrani
 
Mkuu
Mimi naona njia ya radio ndiyo inafaa kutangazia. Tena radio Clouds
Ukitaka Tv ni ITV
Ukitaka gazeti ni Mwananchi

Mipango yote njoo Pm mkuu
 
Okat
Mkuu
Mimi naona njia ya radio ndiyo inafaa kutangazia. Tena radio Clouds
Ukitaka Tv ni ITV
Ukitaka gazeti ni Mwananchi

Mipango yote njoo Pm mkuu
Okay Asanteh sanaa mkuu.. nakuja si mda.. ila ungenisaidia na gharama kama unazijua
 
Back
Top Bottom