fathergetho
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 1,556
- 914
Salama wakubwa wa kazi....??
siku kadhaa zimepita tangu tusikie ile kauli ya "UKIWA NA VYEREHANI VINNE (4) ICHO NI KIWANDA KIDOGO"...mimi kama mtanzania nimevutiwa sanaaaa na statement ile na nimeona isiwe shida,nimefungua kiwanda changu cha kuvi_process viazi vikawa CHIPSI..so what i need is mgeni rasmi aje kukizindua hichi kiwanda changu na kama inawezekana ningependa niwekewe na jiwe la msingi pia kiwanda changu kiingizwe ktk orodha na idadi ya viwanda vyetu hapa nchini tanzania.... MUNGU MWENYEZI AKIPENDA NITAONGEZA VIWANDA VINGINE
KARIBUNI NYOOTE KIWANDANI KWANGU,...
.Kiepe yai
.nyama choma
.ndizi rosti
.kiepe kikavu
.tomato na chilli sauce free
.....NAIPENDA NCHI YANGU YA VI_WONDER