Naomba ukweli kujua Onecoin

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Mambo vipi,mwakajana mwezi wa kwanza nilianza kusikia leo.hii nimringia group moja nakuta kuna watu niliosoma nao wanaiongelea.Mwenye uelewa aje na ukweli hapa chini
 
mkuu wao wanaiongeleaje?? ni D9 au bitcoin??
 
Hivi vitu vinawahitaj alshababu wakujitoa muhanga tamaa mbaya hiv MTU nimeinvest mil 4 AF nalipwa kwa wiki 52 tumwamini vp MTU kama huyu hiyo pesa kwanin wasiwekeze kwenye biashara ya mahindi vijijini Debe elf 16 mjini Debe elf30
naona hivi Vitu Vimepata umaarufu sana. mimi Nawajua watu Kibao wameweka pesa zao huko.

Ila ndio nasubiria matokeo sasa maana kwangu mm naona ni utapeli flani hivi
 
Hivi lini watu mtaacha UZUZU, imeanza DECI mmepigwa hamjasikia, Ikaja Faorever, GNLD,RIFARO zote watu mnapigwa lakini kichwa bado kigumu, sasa sijui imekija COIN gani bado watu mnaenda tuu. Kweli binadamu ni viumbe wa ajabu sana.
 
Hayo mengine siyafahamu, ila hili la DECI naona watu wengi wameshindwa kulielewa; kwanza ishu ya DECI hawa jamaa hawakuwa matapeli kabisa mimi ni mmoja wa wanufaika wa mpango ule wa DECI kwa maana nilianza na Tsh. 10,000 nikiwa mwanafunzi wa sekondary na mpaka inafungwa nilikuwa na kiasi kisichopungua Tsh. 500,000 huku nikiwa nimetoa pesa kwa matumizi yangu kiasi kisichopungua Tsh. 200,000.
Sasa ishu pale ilikuwa ni serikali na taratibu zake kwamba jamaa hawakusajiliwa kwa shughuli zile yan walitenda kaz tofauti na usajil wao waliiomba kwa mujib wa serikal lakn mpaka hatua ya mwisho viongoz wa juu wa DECI walijitahid kujitetea lakn wakashindwa
lakin yote ktk yote jamaa hawakuwa matapeli kabisaaa!! Huku kwetu watu wamejenga mijengo ya maana kwaajili ya DECI, Hivyo ukiiponda DECI mm ckuelewi kabisa kwasababu nahifahamu vizur
 
Kwasababu wewe ulinufaika ba Utapeli ndio unatetea Utapeli. Very sad
 
Hivi vitu vinawahitaj alshababu wakujitoa muhanga tamaa mbaya hiv MTU nimeinvest mil 4 AF nalipwa kwa wiki 52 tumwamini vp MTU kama huyu hiyo pesa kwanin wasiwekeze kwenye biashara ya mahindi vijijini Debe elf 16 mjini Debe elf30
Biashara ya kulipwa pesa ya madafu fanya tu mwenyewe..
 
Hivi vitu vinawahitaj alshababu wakujitoa muhanga tamaa mbaya hiv MTU nimeinvest mil 4 AF nalipwa kwa wiki 52 tumwamini vp MTU kama huyu hiyo pesa kwanin wasiwekeze kwenye biashara ya mahindi vijijini Debe elf 16 mjini Debe elf30
Shauri yako wenzako wanakula pesa endelea namahindi yako kijijin
 
Mambo vipi,mwakajana mwezi wa kwanza nilianza kusikia leo.hii nimringia group moja nakuta kuna watu niliosoma nao wanaiongelea.Mwenye uelewa aje na ukweli hapa chini
Soma haya maelekezo kisha nicheck kwa kufanikisha namna ya kuanza;
UNAWEZA TAJIRIKA NDANI WIKI MOJA TU. SASA FUATA MAELEKEZO HAYA KISHA NIONE KWA UFAFANUZI ZAIDI, KARIBU. Amka Mwanamke ni kampuni iliyosajiliwa na msajili wa Makampuni (BRELA), na kupata usajili namba 130089 mnamo tarehe 06/10/2016. Makao makuu ya kampuni hii yapo katika wilaya ya Nyamagana, Isamilo jijini Mwanza. Kampuni inaongozwa na Mkurugenzi ambae anawajibika kwa Bodi ya Wakurugenzi yenye wajumbe saba (7) ambao wanachaguliwa na Mkutano Mkuu. DHUMUNI KUU LA “AMKA MWANAMKE” Ni kujenga uwezo wa wajasiriamali kwa kuwafundisha mfumo thabiti wa AMWA ili waweze kuwezeshana kiuchumi wenyewe kwa wenyewe moja kwa moja kwenye akaunti zao za benki. Walengwa wakuu wa taasisi hii ni jamii yote yaani jinsia zote (WAKE KWA WAUME) inayofanya ujasiriamali na hasa wale wenye mitaji midogo au wanaofanya biashara zinazohitaji mitaji midogo ili kuikuza na kufikia viwango vya kati hadi vya juu. MPANGO WA KUINUA MITAJI Tangu tarehe 01/08/2016 “AMKA MWANAMKE” ilianzisha mradi wa kujenga uwezo wa kiuchumi wa wanajamii wa Mkoa wa Mwanza ikiwa chini ya taasisi yake iitwayo Amka Mwanamke Organization. Mpango huu unatokana na mfumo uliotekelezwa kwa mafanikio makubwa nchini Italia. Hapa Mwanza mfumo huu ulianza na jumla ya nafasi saba (7) ambapo mmoja kati yao alinunua fomu ambayo ina majina ya watu hao saba (7) kwa Tshs. 2000/=. Kati ya hao saba, mmoja wao (TOP POSITION) aliingiziwa fedha kiasi cha shs. 2000/= katika akaunti yake na kiasi kingine cha Tshs. 2000/= kiliwekwa katika akaunti ya “Amka Mwanamke” kwa ajili ya gharama za uendeshaji (running costs). Nafasi ya Top Position iliamuliwa na wahusika wenyewe hao saba (7). Mpango huu umekubalika miongoni mwa jamii na unaendelea kukua vizuri. KINACHOFANYIKA KATIKA HUU MPANGO Kuna fomu za gharama (mtaji) tofauti tofauti kulingana na uwezo au uamuzi wa mdau. Mtu ananunua fomu 1 kwa Tshs. 2000/=, 5,000/=, 10,000/=, 20,000/= , 50,000/= au 100,000/= kisha anaweka Tshs. 2000/=, 7,000/=, 15,000/=, 30,000/= , 80,000/= au 150,000/= kwenye akaunti ya mtu aliye namba 1 (TOP POSITION) na Tshs. 2000/=, 3,000/=, 5,000/=, 10,000/= , 20,000/= au 50,000/= nyingine anawekwa kwenye akaunti ya ”Amka Mwanamke” kwa ajili ya uendeshaji (running costs) , akisha ingiza Benki kiasi hicho cha fedha kwenye akaunti zote mbili ataleta Ofisini kwetu fomu yake aliyonunua pamoja na risiti za Benki (Pay in Slip). Kisha atachapiwa fomu zake 3 akiwa namba 5, 3 au 2. Ataziuza kwa watu watatu (3) tofauti na kila mmoja atampatia Tshs. 2000/=5,000/=, 10,000/=, 20,000/= , 50,000/= au 100,000/=, hivyo; 2,000 x 3= 6,000/=. Hivyo Tshs. 6,000/=aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi. 5,000 x 3= 15,000/= Hivyo Tshs. 15,000/=aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi. 10,000 x 3= 30,000/= Hivyo Tshs. 30,000/=aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi. 20,000 x 3= 60,000/= Hivyo Tshs. 60,000/=aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi. 50,000 x 3= 150,000/= Hivyo Tshs. 150,000/= aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi. 100,000 x 3= 300,000/= Hivyo Tshs. 300,000/= aliyotumia kama mtaji inakuwa imerudi. bBaada ya hapo na aliowauzia pia nao watatakiwa kufanya kama yeye alivyofanya, kutokana na watu kuendelea kununua fomu chini yake ataendelea kupanda kutoka namba 5,3 au 2 mpaka namba 1 (TOP POSITION ) . Hivyo mpaka anafika TOP POSITION kunakuwa na fomu; 243 kwa fomu yenye nafasi 5. 27 kwa fomu yenye nafasi 3. 9 kwa fomu yenye nafasi 2.Kunakuwa na idadi ya fomu ambazo jina lake litaonekana akiwa TOP POSITION kulingana na fomu yenye nafasi ngapi. Ambazo jina la mhusika litaonekana akiwa namba 1 (TOP POSITION ). Kwa fomu yenye nafasi 5 itakuwa na jumla ya fomu 243 ambazo jina lake litaonekana akiwa namba moja (TOP POSITION). Kwa fomu yenye nafasi 3 itakuwa na jumla ya fomu 27 na fomu yenye nafasi (position) 2 itakuwa na jumla ya fomu 9. Hivyo iwapo watu; 243 watamuingizia Tshs. 2,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 486,000/= 27 watamuingizia Tshs. 7,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 189,000/= 27 watamuingizia Tshs. 15,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 405,000/= 27 watamuingizia Tshs. 30,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 810,000/= 27 watamuingizia Tshs. 80,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 2,160,000/= 27 watamuingizia Tshs. 150,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 4,050,000/= 9 watamuingizia Tshs. 80,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 720,000/= 9 watamuingizia Tshs. 150,000/= kwenye akaunti yake, atapata Tshs. 1,350,000/= Pesa au kipato hiki sio MKOPO, hivyo atakua na uwezo wa kuitumia ATAKAVYO. PESA HII SIO MKOPO BALI NI PATO LINALOTOKANA NA ILE ;
TSHS.6,000/=, TSHS.15,000/=, TSHS.30,000/=, TSHS.60,000/=, TSHS.150,000/= au TSHS.300,000/=ULIYOWEKEZA. KWA MAELEKEZO ZAIDI WASILIANA NAMI.
Simu: 0715025947 /. 0620674279
 
Hata huu upigaji tu
 
Mnaita AMKA MWANAMKE lakini mnasema ni kwaajili ya wanawake na wanaume. Hivi mwanaume gani mwenye akili zake timamu atajiunga? Haya akisha jiunga anajitapa kabisa nimejiunga na AMKA MWANAMKE?
.
.
Jina lenu ni hovyo. Pia nasikia ni utapeli kama utapeli mwingine. Kila la heri AMKA MWANAMKE, mtakayo faidika nayo mje kutupa shuhuda.
 
Mambo vipi,mwakajana mwezi wa kwanza nilianza kusikia leo.hii nimringia group moja nakuta kuna watu niliosoma nao wanaiongelea.Mwenye uelewa aje na ukweli hapa chini
kweli hii kitu COIN ipo lm ni mwaka jana Januari ni BITCOIN ambapo watu walikimbizana kupitia Cryptoion WAKALIZWA
ndio yakaja makundi mengi tu yakachezesha hizo Electronic Money
sasa hivi inayovuma ni ya Brazil ya jamaa anaitwa D Santana na wanachuo wengi wa UDSM hasa waliomaliza Eng waliingia humo na wanavuna hasa inaitwa D9 mchezo huu unzchezwa kwa Dola cash jm utataka ukaibadili kuwa BITCOIN unaweza lkn wao wanacheza kwa e0money na Uganda, Kenya na Hong Kong
D9 ilikuwa Club ya usiku ilianzishwa na Ronaldo, sasa huyu Santana mpaka kuja tumia jina jilo ni kuvutia wapenda mpira na amejikita zaidi huko
tafuta humuhumu Jamii Forums D9 (Topic ) zipo kibzo
 
Hayo mengine siyafahamu, ila hili la DECI naona watu wengi wameshindwa kulielewa; kwanza ishu ya DECI hawa jamaa hawakuwa matapeli kabisa mimi ni mmoja wa wanufaika wa mpango ule wa DECI kwa maana nilianza na Tsh. 10,000 nikiwa mwanafunzi wa sekondary na mpaka inafungwa nilikuwa na kiasi kisichopungua Tsh. 500,000 huku nikiwa nimetoa pesa kwa matumizi yangu kiasi kisichopungua Tsh. 200,000.
Sasa ishu pale ilikuwa ni serikali na taratibu zake kwamba jamaa hawakusajiliwa kwa shughuli zile yan walitenda kaz tofauti na usajil wao waliiomba kwa mujib wa serikal lakn mpaka hatua ya mwisho viongoz wa juu wa DECI walijitahid kujitetea lakn wakashindwa
lakin yote ktk yote jamaa hawakuwa matapeli kabisaaa!! Huku kwetu watu wamejenga mijengo ya maana kwaajili ya DECI, Hivyo ukiiponda DECI mm ckuelewi kabisa kwasababu nahifahamu vizur
Kwa akili hii watanzania wengi watatapeliwa, hujui kuwa DECI ni matapeli wa kimtaifa ambao huweka chambo ktk nduwano, halafu hela ulizo pewa wewe ni za wachangiaji wengine kama wewe, wala sio mtaji wa DECI na serikali walipotaka DECI waonyeshe mtaji wao ilishindikana walikuwa hawana wawo walikuwa wanacheza na michango ya watu wanakusanya kwa watu kumi wanampa mtu mmoja za watu tisa wanagonga.
 
Back
Top Bottom