Biashara ya ndizi

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
501
1,214
Nchi jirani ya Uganda, moja ya nchi , zinazolima zao la ndizi kwa wingi kabisa duniani utengeneza fedha za kigeni takribani dola za kimarekani milioni 20 kwa mwaka kupitia zao la ndizi

Brazil nchi ambayo hulima zao la ndizi kidogo kuliko nchi ya Uganda, wao hutengeneza fedha za kigeni takribani dola bilioni 10 kwa mwaka kutokana na zao hilo

Afrika bado tuna safari ndefu sana, sina hakika Tanzania tunatengeneza pesa za kigeni kiasi gani, kutokana na zao hilo
 
Back
Top Bottom