Viwanda vinakuja kwa watu wa Kagera tena siyo vya mabati tuu, mpango uliopo ni wakusambaza viwanda ukanda huo vya kutosheleza soko la ndani na ku supply bidhaa nchi za Congo, Burundi Rwanda mpaka South Sudan.Na huku Kagera tujengewe kiwanda cha kutengeneza bati.Madini ya bati yanapatikana huku.
Hao wanalipwa na mabwana zao kupinga kila kitu hawakawii kusema hizo picha zilipigwa Kenyawana kucha vijana wa cdm kuja kupinga
Unajishitukia wewe! kumbe hata wewe una wasiwasi na hizo picha sababu uhalisia hujauona? Hayo majengo yapo muda mrefu lakini hayafanyikazi ngoja vifunguliwe ndipo mseme au ukiwa na cherahani NNE ni kiwanda kidogo?Hao wanalipwa na mabwana zao kupinga kila kitu hawakawii kusema hizo picha zilipigwa Kenya
Hicho cha juice ni cha kampuni gani kiongozi?Nakupa habari nyingine amaboyo hujui, kuanzia Dec, 2015 Serikali imefanikisha ujenzi wa Viwanda vikubwa zaidi ya 390 vyenye mtaji wa kuanzia shilingi bilioni 1.5 kwa kila kiwanda. Vitafunguliwa speed utafurahi mwenyewe
Safi sana kiongozi hivi sayona ni ya mbongo au muwekezaji wa nje?Kampuni ya Sayona mkuu