Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ndugu za jioni. Uuzaji wa awali wa hisa #vodacom umeshafungwa. Ningependa kujua matokeo ya ununuzi wa hisa hizi yatatoka lini
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natamani hii nchi ingekuwa imepimwa asilimia 80 tu suala la kukusanya kodi za majengo viwanja n.k wangekusanya hela nyingi sana. Leo hii ardhi ya Tanzania haijapimwa.... Hivi hatuwezi kujiwekea...
2 Reactions
2 Replies
835 Views
Habari wadau,<br /><br />Huwa nawaza sana kuanzisha NGO lakini shida ni kwamba nashindwa kuelewa namna ambavyo ntaweza kuisaidia jamii nikiwa nimekwisha maliza usajiri wa NGOs sasa sijajua ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
The word Kuwa it's the best bank in Tanzania Any truth in this? What makes them special compared to the barclays, stanbics, city banks, NBC, etc?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
EITI NOW POINTS FINGER AT ACACIA FOR MISREPORTING COPPER EXPORT PROCEEDS SINCE 2001 Asks ACACIA to be more transparent to Tanzanians A stop order issued by Tanzania Government on March 3rd 2017...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za mida hii, poleni na mihangaiko ya kusaka mkate. Sasa nijikite kwenye mada husika niko kwenye mkakati wa kusajili NGO'S kwa jili ya watoto yatima nina watoto ninaowahudumia kama...
4 Reactions
30 Replies
47K Views
Habari zenu wadau ...... Heri ya mwaka mpyaaaa... Naomba kujuzwa na mtu mwenye uelewa kuwa wakala wa kuuza kwa jumla product za Azam hasa hasa maji na juisi inahitaji nini na nini na mtaji wa...
0 Reactions
11 Replies
19K Views
Habari wadau.. Nimeguswa sana kupata humu jamvini mentor wa kilimo, ufugaji na sasa forex bwana ontario..Pia kina Makirita amani anatoaga thread nzuri sana humu.. Sio personal wadau ni mimi tu...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Salaam sana wanajf Naomba msaada wa maelezokuhusu mifuko ya jamiiya LAPF NA PSPF ili niweze kufanya maamuzi katika masuala yafuatayo: 1. Kuna tofauti ipi katika makato na mapato "benefits" kati...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hit me up, for the best rates for Bid Bonds, Performance bonds and Advance Payment Guarantees for those that tender for government jobs or better yet if you are a Banker in the trade finance...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
AUS200 Dominant bias: Bearish On this market, a bearish signal was generated last month, when the market lost over 23,000 points. This has resulted in a Bearish Confirmation Pattern, as this...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
BILA shaka ukiulizwa leo kama unataka kuwa tajiri, jibu lako litakuwa ni NDIYO! Lakini je, tunaelewa maana ya utajiri na namna ya kuwa tajiri? Hili ni swali ambalo majibu yake yanawasumbua wengi...
25 Reactions
56 Replies
96K Views
Naomba Ushauri jinsi ambavyo nitaweza kuuza nguo zote bila kuwa na frem. Niko dar
0 Reactions
25 Replies
13K Views
haiwezekani Nitume Hela Kabla Ya Kupewa Mzingo, Na Mwenye Mzigo Najua Hawezi Kunitumia Bila Ya Kumtumia Hela Kwanza, Sasa Hapo Nani Aibiwe??? Mi Sina Uhakika Kabisa Na Hizi Biashara Za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi wanabodi hamjambo, Ndani ya mwezi mmoja toka sahii natarajia kufungua nite club ambayo itatarget watu wa hali ya kati na juu.. Naomba wenye uzoefu wanipe experience yakurun hii biznez, wateja...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu, Habari, Leo nlikuwa napitia kwenye Ukuraasa wa Vodacom, nikakuta wameandika mambo mazuri kusu haya mambo ya hisa, nikaona si vibaya kushirikisha. Hapa chini ndicho walichoandika; => Bila...
11 Reactions
161 Replies
29K Views
Habari wadau JF, Nimefikiria kuanzisha mradi wa kusaga, kukoboa na kupack unga na mchele ili niweze kuuza kwa watumiaji wa maeneo yote. Nilitembelea Supermarket moja nikaona namna vifungashio...
4 Reactions
15 Replies
15K Views
Natafuta mfanyabiashara tushirikiane kwenye bar na restaurant yangu pale daraja la Kigamboni. Imekamilika kwa kiasi cha 85%. Ipo kwenye barabara kuu kama hatua 100 baada ya sehemu ya kulipia...
1 Reactions
2 Replies
960 Views
Habarini wadau, naomba msaada ni benki gani inatoa credit card kwa kianzio kidogo mfano TZS50000-200000. niliuliza DTB nikaambiwa laki tano.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
CRDB divident per share shs 10. huku benki ni ya pili kwa ukubwa nchini. TOL ndio usiseme. tangu waingie DSE kwa prospectus ya kubuni hawajawahi kutoa gawio la hisa. wakurugenzi na management ndio...
8 Reactions
52 Replies
9K Views
Back
Top Bottom