Msaada, nina mashine ya nafaka nahitaji fursa

Musaneza

Senior Member
Apr 4, 2017
141
138
Wadau,

Nina mashine ya kusaga na kukoboa nafaka ya mafuta(diesel). Ninahitaji kwa yeyote aliyeona fursa ya sehemu ambayo naweza kufunga mashine hii. Utakuwa vizuri kama itakuwa mkoa wa Pwani.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom