Nina gari coaster 26 , nataka kuingiza barabarani.
Naomba wazoefu nisaidieni nipeleke route IPI, ambayo nitaweza kufanya biashara.
Nilikua na wazo la kuipeleka Mbezi-Mlandizi, Ila baada ya...
Naombeni ushauri na uthibitisho kwa anayejua kama Wezesha Focus Vicoba wanatoa mikopo kweli. maana mimi nataka kuweka akiba na niombe mkopo WEZESHA FOCUS VICOBA
Habari zenu ndugu zangu ,naomba kujulishwa ,nilikua nataka kuagiza gari kutoka japan lakini kwanza kabla ya yote nataka kujua ushuru wake ni kiasi gani ? Je wanahuduma hiyo katika website yao...
Huduma za usafiri wa majini Ziwa Victoria zinahitaji msukumo mpya ili kuleta ufanisi.
Meli zako zinazoenda haraka zinaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye usafiri ziwa la Victoria kuliko ilivyo leo
Watanzania wenzangu,kumiliki biashara/kampuni (kwa maana ya limited company) na kujiajiri ndiyo siri ya mafanikio kwa Tanzania ya leo.Chukua hatua na ufungue kampuni yako na ujiiunue kiuchumi...
Jana nilikua nafuatilia mubashara hafla ya kutimiza miaka 50 ya uanzishwaji wa benki ya NBC, ukweli natoa pongezi za dhati kwa kufikia umri huo wa mtu mzima. Ushauri wangu ni kuendelea kufanya...
Kwa muda mrefu nilikuwa naiona hii kampuni ya interchick inakua mpaka kufikia leo hii... Sasa hapa jamvini watu wengi wana plans za kufuga kuku na mayai na vifaranga
Hapa mjini wa akina mama...
Nashukuru niliwahi leta uzi hapa wa kupewa ushauri wa biashara hii ya nafaka specificaly mahindi, mchele, maharage, i mean daily used stuffs na jamii nimefikia pazuri sana, kimtaji na kimkakati...
ZIJUE NCHI 20 TAJIRI AFRIKA-TANZANIA PIA IKIWEMO HONGERA
1.Afrika Kusini
Pato la Taifa ni dola bilioni 576.1
Akiba ya fedha za kigeni ni dola milioni 47,190
2. Misri
Pato la Taifa ni dola...
Wakuu Habari?
Ninaomba kuuliza kuna mwenye taarifa za namna ya kusfirisha Conatainer ya Mzigo kutoka TZ kwenda Zanzbar taratibu zake, Tozo na mengineyo ni kiasi gani?
Naomba kuwasilisha
Je? Uko kwenye kazi ambayo huipendi? Yaani upo upo tu unasubiri saa 11 jioni ifike usepe na tarehe 30 ulipwe? Je? Ni kitu gani kinakujia kichwani mwako mwanzo kabisa ukisikia makampuni...
Hali ya meli bandarini kwa nchini kwetu hairidhishi,mpaka leo alhamisi ya tarehe 18/05/2017 saa tano kamili usiku 23:00pm ni kama ifuatavvyo.
Dar es salaam meli za mizigo/cargo + za...
Naomba kujizwa kuhusu biashara ya barber shop faida na hasara zake uendeshaji wake uko vipi na changamoto zake natanguliza shukrani za dhati. Mimi niko mkoani mbeya
Wakuu husika na mada naomba mwenye kujua chochote kuhusu biashara tajwa hapo, nimelenga kuifanya kwenye mkusanyiko wa watu,
Naomba kufahamu uendeshwaji wa biashara husika
Karibu mnisaidie
Habari zenu wakuu, ninashida wakuu,
Inanitatiza bado sijapata suluhisho mpaka mda huu na jambo lenyewe nakaribia kulifanya. Bila ya kuwachosha nianze na jambo langu ninalotaka msaada.
Ninataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.