Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

JF Prefixes:

Jamani mi nataka kufungua duka la dawa Kuna shekhe mmoja kaniambia Nyota yangu sio ya kukaa Dukan Jaman nauliza eti biashara inaendana na nyota??? Hapa nimechanganyikiwa nimeshanunua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutoka na kuongezka kwa matumizi ya shilingi ya sarafu 50, 100, 20 na 500 madukan, sokon, kwenye shell ,machine za kusagia na nauli nini maana yake yan not zimekua chache sana kiasi kwamba...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Hi Friends, wakubwa kwa wadogo.. Mimi ni kijana mpambanaji sema napata changamoto sana kwny life currently. mimi nimegraduater certain university na niko home tu kwa sasa... nna ujuz sana wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
D
Deleted member 421398
Kwa mliosoma masomo ya biashara na uchumi pia na wale ambao ni wafanyakazi wa makampuni ya simu yanayofanya kazi Tanzania hata nje ya Tanzania leo nina swali kwenu kama ifuatavyo. Binafsi natamani...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nahitaji some USDZ. Kama kuna anayejua Bureau de Change yenye rates nzuri na afadhali naomba anipe ramani nije.
0 Reactions
4 Replies
813 Views
Habari wadau wa JF, Nilikuwa naomba msaada + Ushauri wenu, Nina Pc, Printer pamoja na kamtaji kadogo lengo kubwa ni kutaka kuwa msambazaji na muuzaji wa movies pamoja na series kwa bei ya jumla...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Habari wana JF, Naulizia maeneo mazuri kwa biashara ya duka la nyama kwa Dar.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ameamua kuwekeza sehemu ambayo wawekezaji wote waliikwepa. Wengi wanapenda kuwekeza sehemu yenye uchumi mkubwa na miundombinu iliyokamilika. Uchumi wa kusini bado haujachangamka, hivyo lazima...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Mimi naona dawa ya kuokoa misitu yetu ni kuchakata gesi yetu ifae kwa matumizi ya nyumbani na iuzwe bei rahisi kabisa ili watu wasione tena umuhimu wa kupikia makaa ya kuni Sijui kwa nini hili...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Samahani wana JF naomba kuulzia jinsi ya kununua hisa make huwa na sikiaga tuu hisa hisa sielewi kabisa chochote msaada wenu plz
0 Reactions
1 Replies
894 Views
Wadau usiku huu leo nimekereka sana na wahudumu walio zamu Vodacom huduma kwa wateja M Pesa. Yaani unapiga simu 100 unachagua kuongea na mhudumu unawekwa kwenye foleni then mziki unakatwa maana...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Ndugu zangu Mimi ni mgeni kwenye mambo ya kibenki kuna rafiki yangu nafanya naye biashara na ilitakiwa mwezi ulioisha anipe milioni nne ila toka tarehe 28 hadi Leo ananiambia kuwa cheki...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
habari naitaji kujiunga na biashara za mtandaoni wadau kwa hapa tanzania naomba msaada wenu tafadhari ni makampuni gani naweza kufanya nayo kazi na namna gani ya kujiunga nayo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, Nina wazo la kuanzisha chuo cha hotel na utalii au kufungua mgahawa na bar kubwa but sina mtaji, je kuna bank ambayo inaweza kunikopesha angalau 20 milioni kwa kuweka dhamana vyeti vyangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari, Nahitaji mkopo wa laki 7 wa haraka tafadhali, dhamana kadi ya gari. Naomba msaada tafadhali
1 Reactions
18 Replies
4K Views
lakini sasa hivi wanasema ni vibaya number one reason i dont trust the govt
0 Reactions
2 Replies
749 Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair trended downwards from Monday to Thursday and then rallied significantly. This has resulted in a bullish bias...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Ndugu wanajamvi msaada kwa kipi cha kufanya ili kuweza kufanya usajili wa jarida /magazine. Nataka kufanya ujasiriamali kwa uzalishaji wa magazine ni nn cha kufanya ili niweze kucomply na kuweza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei ya sigara pakti nzima ni shilingi ngapi kwa sigara pendwa hapa nchini naomba mwenye kuelewa anisaidie hapa tafadhali. Nikipata bei ya pakti za sigara kampun zote zilizopo nchini ntashukuru...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom