Wadau msaada kuhusu kujiunga na biashara za mtandaoni hapa Tanzania

Mugishawilfred

New Member
Mar 10, 2017
1
0
habari naitaji kujiunga na biashara za mtandaoni wadau kwa hapa tanzania naomba msaada wenu tafadhari ni makampuni gani naweza kufanya nayo kazi na namna gani ya kujiunga nayo
 
Biashara nzuri ya mtandao Ni Elnet Africa for more information check this number 0623976725
 
Karibu nikushirikishe, kwenye fursa nzuri ya biashara ya mtandao, kampuni yetu unatumia SIMU YAKO, na kujipatia pesa.
0746 30 70 70
 
habari naitaji kujiunga na biashara za mtandaoni wadau kwa hapa tanzania naomba msaada wenu tafadhari ni makampuni gani naweza kufanya nayo kazi na namna gani ya kujiunga nayo
Usijaribu hata kidogo, na wala usijaribi kuwapigia cm hao jamaa walio weka namba zao .Nina uzoefu nayo.
 
utatapeliwa biashara nzuri ya mtandao ni wewe mwenyewe kufanya kazi zako mtandaoni nichek kupitia 0743497079 nikupe somo zuri kuhusu hilo
 
Back
Top Bottom