Wadau amani iwe kwenu..
Nimejaribu kufikiria Idea ya Garage inayotembea kama fursa inayoweza kufanyiwa tathmini na kutekelezwa na kuingiza kipato cha kutosha. Kwa maoni yangu, kutokana na...
Hi wanaJF , niko Dar es salaam nimegraduate mwaka 2012 public administration na sina kaz ila nna kiosk(kiduka) chenye km milion moja na laki nne nna uhakika wa mkopo wa milion moja na laki tano...
**HABARI WANA JAMVI* . Sisi ni hitimu wa Elimu ya chuo Kikuu katika chuo kikuu cha Dodoma tunapatikana Dodoma Mjini. Tukiwa kama vijana wahanga wa suala la ajira, Tuliamua kusoma kozi fupi ya...
Habari.!
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wote mlioheshimu uzi huu na kuupitia
Binafsi nimetafuta kazi kwa mda mrefu sana bila mafanikio
Nimeumiza kichwa ipasavyo kuangalia nifanye biashara...
Pato la Taifa kwa kila mtu huchukuliwa kuwa ni kiashiria cha kiwango cha maisha ya nchi inayotolewa, kwa kuwa inaonyesha utajiri wastani wa kila mtu anayeishi nchini.
Kwa hiyo ni njia ya kawaida...
Hii bvitha hii sijui inatupeleka wapi maana Google anawakalia kooni huawei namna hii jamani.
chanzo cha habari na habari yenyewe full hapa kwa link
Google has barred phone maker Huawei off from...
Dar es Salaam (Dar) (from Arabic: دار السلام Dār as-Salām, "the house of peace"; formerly Mzizima) is the former capital as well as the most populouscity in Tanzania and a regionally important...
Habarin wananzengo,
Naomba kwa wazoefu tusaidiane,
Nahitaji mtaji wa kiasi gan ili kuweza kuanzisha biashara ya duka la rejareja.
Na pia kujua vitu gan vya msingi kuwa navyo kwa ajil ya kuanzisha...
Wananchi walikuwa na matumaini ya kuingia mkataba wa kulipwa hela kila baada ya miezi mitatu kwa ajili ya kukodishia ardhi yao kwa kampuni ya JACANA/Strandline Resources inayotaka kufanya mradi...
As Salaam alaykum wote
Ninatumai mko kati hali njema bi idni Allahi katika mwezi huu mtukufu wa ramadani.
Mimi ninapenda vitu vyote vya real eastate. Lakini bahati mbaya sioni nchini miradi ya...
Jamani napenda kuwatahadharisha kwamba muwe makini sana na bidha zinazotengenezwa na kampuni ya WESTPOINT.
Nilinunua fridge mpya hivi karibuni Quality Plaza. Baada ya wiki moja ikaharibika...
SAFARI ya kwanza ndege za Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kwenda Mumbai, India itazinduliwa Julai 17, mwaka huu huku dirisha la kukata tiketi kwa safari hizo tayari limefunguliwa rasmi...
Wakuu
Nimepata safari ya kwenda Moron Comoro Kikazi
Ila nataka kuitumia safari hii pia kuangalia fursa mbalimbali za biashara
Naomba kwa yoyote anaejua mawili matatu anisaidie
1)ukiachia...
Greetings folks,
I am writing to air my disappointment with tiGo Tanzania data prices!
Every day i pay Tshs 2000 for a 1Gb Internet Bundle!
Surprisingly,Today i can only get 800 Mb at the same...
Waungwana niko hapa DRC na leo nimeona ni vyema kushare fursa za kibiashara hapa.. Kwanza kabisa napenda kuwafahamisha kuwa kuwa Mtanzania hapa DRC hasa hapa Goma ni ujiko,, wacongo wanatupenda...
Wakuu habari zenu,
Mimi ni mkulima mjasiriamali, nalima mwenyewe na kuuza pamoja nanunua kutoka kwa wakulima wenzangu mazao mbalimbali na kuuza pia. Pia nafanya ufugaji wa Kuku na Mbuzi na hivi...
Asalaam
Kama kichwa kinavosema. mwenyeufahamu au ambaye tayari amepata hii leseni ya usafirishaji bidhaa mbalimbali kwenda nchi jirani za Afrika Mashariki, naomba anisaidie kufahamu hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.