Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

JF Prefixes:

Kampuni ya Vodacom Tanzania kupitia Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) itaanza kuuza hisa zake milioni 560 kwa thamani ya Shilingi 850 kila hisa. Mauzo yataanza tarehe 09.03.2017 na...
0 Reactions
93 Replies
14K Views
Ndugu zanguni Salam sio pesa kwamba nisipo kupa hutaishi Mwaka 2009 Mungu alinipa chombo cha moto, yani pikipiki,, (mtumba) Lakini kwa bahati mbaya Pikipiki hiyo mwishoni mwa mwaka 2011 ikawa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa wenye uelewa na e wallet je kuna bank yoyote hapa tanzania inayotoa huduma za e wallet?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari ndugi zangu, Baada ya kutafuta kazi kwa muda mrefu bila mafanikio sasa nimeamua nifanye ujasiriamali, nahitaji mtu ambae tunaweza kushirikiana nae katika biashara hapa Dar, jinsia yoyote...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Trading electrical items is the profitable business in Tanzania. And if you put things right this business guarantee 100 percent your money back within a reasonable period of time from setting up...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair trended downwards on March 13 and 14, testing the support line at 1.0600. From the support line, price rose by...
0 Reactions
0 Replies
249 Views
Wadau wa biashara, Naombeni msaada wa umuhimu au faida nitakazozipata kwa kufungua business account yan akaunti ya biashara benki ila kabla ya hilo je naweza kufungua as a personal? Yan binafsi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Niwatoe hofu wanajamii wote, hakuna sheria wala katiba duniani inayomlazimisha mtu kuhamia benki moja kwenye nchi, katika biashara kila mtu ana test zake, benki aliyoitaja mkuu wapo wanaoipenda na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Miezi mitatu na nusu sasa inatosha kukupa picha ya muelekeo wa maisha yako kwa mwaka huu wa 2017. Hakuna siri wala huitaji nabii kukutabilia December mwaka huu itakuwaje, kama hautafanya kitu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
We do airticketing just call javis at 0769061198 we are redy to serv you
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Akili imeanza kufunguka
0 Reactions
2 Replies
976 Views
welcome Ladies and gentleman our Group Buy and sell here Get opportunities Learn about entrepreneur Welcome Welcome Follow this link to join my WhatsApp group: Opportunity&Entrepreneur...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wandugu. Kichwa cha habari chajieleza. Msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Mhandisi Cosmas Kinasa akizungumza machache wakati akifunga rasmi semina ya ujasiriamali ya "Manjano Dream-Makers" kwa wanawake wa mkoa wa Mbeya akimwakilisha meneja wa SIDO Mkoa wa Mbeya. Mafunzo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wafanyabaishara 2,900 kutoka Ilala wamefunga biashara zao, wengine kuhamia DRC na Msumbiji kutokana na mdororo wa kibiashara- HT @ MWANANCHI Daah Leo Nimeona Nyama 1Kg inauzwa sh. 5,000/= Kwa Dar...
9 Reactions
84 Replies
9K Views
WanaJF, na hasa wenye kitengo hiki cha biashara naomba ushauri wenu kuwa nifungue account kwenye bank ipi maana kampuni yetu ni changa na katika kukua tutahitaji mikopo toka bank husika...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Nimeona hii ripoti nikaona heri kuileta humu, Ndugu amka chapa kazi Tanzania created 200 new dollar millionaires in 2016, a new report shows, sending out a picture that the government's cost...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Soko la mpira ni miongoni masoko yenye faida kubwa ya rejesho kwa wanahisa wake wote!!! Jiulize kwanini matajiri wakubwa huchagua kuekeza kwenye soko la mpira kwa mfano mohamed dewji na simba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani mi nataka kufungua duka la dawa Kuna shekhe mmoja kaniambia Nyota yangu sio ya kukaa Dukan Jaman nauliza eti biashara inaendana na nyota??? Hapa nimechanganyikiwa nimeshanunua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kutoka na kuongezka kwa matumizi ya shilingi ya sarafu 50, 100, 20 na 500 madukan, sokon, kwenye shell ,machine za kusagia na nauli nini maana yake yan not zimekua chache sana kiasi kwamba...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Back
Top Bottom