Nahitaji mkopo wa dharura

mkanai

Member
Jan 8, 2017
7
2
Habari,

Nahitaji mkopo wa laki 7 wa haraka tafadhali, dhamana kadi ya gari.

Naomba msaada tafadhali
 
Mm nahitaji laki 5 naacha kadi ya pkpk 1 au hata 2: muda mwezi. Riba isizidi 20%
 
Hivi mko serious kweli mnatarajia kuna mtu anaweza kuwapa hela kwa dhamana ya kadi? Kadi ambayo unaweza kwenda TRA ukapewa nyingine?
Mkuu kadi TRAHaitoki Mara mbili labda ukitaka kubadili matumizi tu na ile ya awali inabaki ofisi tfaut na hp utaandikiwa barua tu kuwa umepotelewa na kadi na hiyo brua ndio itakua kama ndio kadi
 
Mkuu kadi TRAHaitoki Mara mbili labda ukitaka kubadili matumizi tu na ile ya awali inabaki ofisi tfaut na hp utaandikiwa barua tu kuwa umepotelewa na kadi na hiyo brua ndio itakua kama ndio kadi
Anaweza kufanya hivyo pia na maisha yakaendelea. Kwanza kwenye gari ikaa copy tu
 
Kama utaleta kadi na gari niwe ninalitumia mimi karibu! Niyakupatia 800,000 umalize shida yako na wewe ubakie na laki ya kusogezea muda
 
Back
Top Bottom