Ongezeko la utumiaji wa shilingi ya sarafu Tanzania ishara yake nini?

Feb 10, 2017
28
6
Kutoka na kuongezka kwa matumizi ya shilingi ya sarafu 50, 100, 20 na 500 madukan, sokon, kwenye shell ,machine za kusagia na nauli nini maana yake yan not zimekua chache sana kiasi kwamba kubadili sarafu kua noti imekua kama na hali ya ugumu fulan .

Naomba kufahamishwa kwamb kutoka katika matumizi ya noti katika manunuzi ya vitu kutumia sarafu nini maana yake

ili hali vitu ni ghali bado
Shi.hamsin uwezi nunua vibiriti wiwili au pipi tatu .

Au nyinyi amjaona hili mnakoishi.
 
Back
Top Bottom