Mtambo wa kuchakata gesi; Njia ya kutunza misitu yetu

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,926
5,020
Mimi naona dawa ya kuokoa misitu yetu ni kuchakata gesi yetu ifae kwa matumizi ya nyumbani na iuzwe bei rahisi kabisa ili watu wasione tena umuhimu wa kupikia makaa ya kuni

Sijui kwa nini hili haliongelewi; tatizo ni nini?
 
Back
Top Bottom