Mh. Rais mteue Prof. Prosper ngoi kuwa mshauri wako wa uchumi

Huyu Engineer-economist haitaji mshauri... Si unaona anabana matumizi akitekeleza fiscal policy
 
Profesa mwambie aende udsm akafundishe tupate vijana wengi wachumi. Profesa mzima unataka apewe pewe tu badala ya kufanya maresearch huko!!!?
 
Back
Top Bottom