Dangote anastahili kupewa upendeleo

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
13,428
13,936
Ameamua kuwekeza sehemu ambayo wawekezaji wote waliikwepa. Wengi wanapenda kuwekeza sehemu yenye uchumi mkubwa na miundombinu iliyokamilika. Uchumi wa kusini bado haujachangamka, hivyo lazima uingie gharama za kuibeba bidhaa hadi waliko wateja wengi. Nadhani ni sahihi kwa Dangote kulindwa na kupewa upendeleo maalumu katika uwekezaji wake katika mikoa iliyoko pembezoni.
 
Back
Top Bottom