N'yadikwa JF-Expert Member Aug 10, 2014 7,121 10,230 Mar 15, 2017 #1 Habari wakuu, Nahitaji some USDZ. Kama kuna anayejua Bureau de Change yenye rates nzuri na afadhali naomba anipe ramani nije.
Habari wakuu, Nahitaji some USDZ. Kama kuna anayejua Bureau de Change yenye rates nzuri na afadhali naomba anipe ramani nije.
osama BLD JF-Expert Member Oct 4, 2016 561 294 Mar 15, 2017 #3 Alafu unielekeze ulipo nitume vijana wangu wakufuate
Miss Natafuta JF-Expert Member Sep 16, 2015 26,574 48,724 Mar 15, 2017 #4 2200 JANA NILIBADILI MIKOCHENI